saly muh
Member
- May 31, 2013
- 30
- 5
Frankly speaking ifike mahali vijana tujitambue..malengo pamoja na maisha yetu ya badae.Haya mazoea ya starehe,pombe,matendo ya kiasherati yasokua na msingi wowote ule hayatatupeleka popote..get focused tujishughulishe..la sivyo hata baki hata mmoja..these z evident kwa wasanii wawili walotutoka(Rip ngwea n langa) bt tusiishia apo tu mfano mwingine ni ray c,q chillah na wengine wengi tusowajua but vifo vinaweza waumbua inasikitisha jaman..hata kwenye jamii tunazoishi wapo wengi sana tunawaona wapo addicted na drugs na mambo mengine..tubadilikeni vijana maana cc ndo taifa la kesho..kwa mtindo huu cjui kizazi baada ya hiki kitakuaje.lets change for the better..tunaweza.tell a friend tuokoe vijana wadogo na kizazi kijacho