Vijana wa 21st century na starehe..

saly muh

Member
May 31, 2013
30
5
Frankly speaking ifike mahali vijana tujitambue..malengo pamoja na maisha yetu ya badae.Haya mazoea ya starehe,pombe,matendo ya kiasherati yasokua na msingi wowote ule hayatatupeleka popote..get focused tujishughulishe..la sivyo hata baki hata mmoja..these z evident kwa wasanii wawili walotutoka(Rip ngwea n langa) bt tusiishia apo tu mfano mwingine ni ray c,q chillah na wengine wengi tusowajua but vifo vinaweza waumbua inasikitisha jaman..hata kwenye jamii tunazoishi wapo wengi sana tunawaona wapo addicted na drugs na mambo mengine..tubadilikeni vijana maana cc ndo taifa la kesho..kwa mtindo huu cjui kizazi baada ya hiki kitakuaje.lets change for the better..tunaweza.tell a friend tuokoe vijana wadogo na kizazi kijacho
 
saly muh ni issue sana kwa vijana hawa wa kizazi kipya au vijana kwa ujumla
Yaani wakikaa na wewe wakakueleza wnayoyafanya au maisha yao utajiona wewe ni mshamba wa kupindukia
tatizo hawasikii wala hawalelewi na ukiwaambia sana sana watakuona wewe mshamba umepitwa na wakati au umezeeka na wao ndo wanajua maisha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom