Vijana tutafute pesa kwa Juhudi

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Vijana wenzangu tutafute pesa popote ilipo.Tuachane na mambo yanayotupotezea muda.Heshima ya dunia ya Leo ni pesa.Hata hao wapenzi tunaowatafuta kwa maneno mengi ukiwa na pesa watajileta kwako.Usiwalazimishe watu wakuone kua una pesa.Ukiwa na pesa watu watakujua tu.Vijana tufanye kazi kwa bidii tuache ubishoo.
 
Noted.
 
taken
 
Back
Top Bottom