Vijana tusipo oa tunasemwa, tukitaka kuoa mnatupangia mahali kubwa

Toa robo sio nusu mwambie nyengine utamaliza ndo imetoka hio

Au mimba tu kama jamaa hapo juu alivyosema

Ukizishindwa hzo njia last option mwambie binti aongee na kwao we huna uwezo wapunguze Si anataka aolewe ataongea nao tu maana sio wazazi wanao olewa

Ikishindikana piga chini tafuta mwengine acha tabia ya sogeza tuishi huwez kaa na mtoto wa mtu bila ridhaa ya wazazi wake mikosi mingine ni ya kujitakia

Ngoja nikanywe bia we endelea kusubir michango mingine
Hoya mkuuu izo bia unakunywa peke yako hata kumtumia mtoa post kwy Inbox yake
 
Sio udhaifu au UPUMBAVU kama unavyosema , ni utaratibu tu au ni kufuata mila na desturi za jamii zetu.

Kuna mijitu imezoea kubisha hata akiambiwa atende vitendo vya kiungwana ambavyo wala havina madhara ni kubisha tu 😂😂😂😏
Mimi Wala sio kubishana but hunihenyeshi hivo nakuachia binti yako...
 
Kuna kijana alidhani kumtia mimba binti ndio atapewa mke kirahisi rahisi.
Wazazi wakakomaa.
Mtoto akazaliwa, mwanaume anadhani atapewa mwanamke lakini wapi.
Kosa alilolifanya alipigwa marufuku kutia mguu nyumbani kwa mwanamke. Mtoto akafikisha miaka miwili mwanaume haamini macho yake.
Ilibidi akaombe, alipe mahari na faini(hela ya matunzo ya mtoto yangu alipozaliwa) wakafunga na ndoa wakakabidhiwa mtoto sasa.

Kuna wazazi hawachezewi nyie, labda ujiandae kukaa mbali na mtoto wako hadi siku akutafute mwenyewe.

Mtoto wangu nitamchukua tu hata wazazi wawe wakali kama simba mwenye njaa, watanilabidhi mahakamani

Mwanangu hatalelewa na mwingine labda niwe marehemu
 
mahari mil 3.6 iyo nukta sita wametumia vigezo gani kuipata inaelekea wamejumlisha mpaka
 
Kuna kijana alidhani kumtia mimba binti ndio atapewa mke kirahisi rahisi.
Wazazi wakakomaa.
Mtoto akazaliwa, mwanaume anadhani atapewa mwanamke lakini wapi.
Kosa alilolifanya alipigwa marufuku kutia mguu nyumbani kwa mwanamke. Mtoto akafikisha miaka miwili mwanaume haamini macho yake.
Ilibidi akaombe, alipe mahari na faini(hela ya matunzo ya mtoto yangu alipozaliwa) wakafunga na ndoa wakakabidhiwa mtoto sasa.

Kuna wazazi hawachezewi nyie, labda ujiandae kukaa mbali na mtoto wako hadi siku akutafute mwenyewe.
Mimi nilimwambia mshenga nimeghaili au nilipe hicho kiasi ila isitokee dharula yoyote ya kusaidiana nikaludi kwa mlengwa nikamueleza yaliotokea na yeye nikamfungia viyoo.
 
Ahsante kwa ujumbe Mkuu, yeye ndiye alianza na kutaka tukae nadhani alihisi nitamuacha sababu hata yeye hakuridhika na mahali hiyo na kutokana na familia yao hana haki hata ya kuchangia wazo kuhusu mahali kutokana na maelezo yake!
Kama kweli haja ridhika akawaambie wazee wake kiasi ulichonacho yani asimame upande wako.
 
Nyie Wajinga ndio mnaooa kwa kupelekeshwa pelekeshwa...ukiona wewe ni dhaifu usidhani ni wote ...huwa wanaangalia na watu, Mimi huniletei huo UPUMBAVU eti wa faini kwani tulibakana? Au nawezaje kulipa faini ya mwanangu niliyemzaaa?

Wewe endelea na udhaifu ukidhani kila aliye na mawazo tofauti na wewe ana umri mdogo...
Kwa hiyo mtu akitambua umuhimu wa kuishi na mke wake/mama wa mtoto wake (familia yake) ni mjinga na madhaifu sio?
Wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine huko mitaani.
 
Wakuu habari za weekend!

Moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa nikisotea mke wa kuoa muda mrefu sana hata humu nilishawahi kutafuta japo sikupata nimekuja kumpata mtaani kwangu.

Huyu binti ananipenda sana na mimi nampenda, akasema nitume mtu kwao nikatuma mshenga, wakati huo kila mtu alikuwa ana getto lake, baada ya mshenga kunipa majibu nikamwambia nimepangiwa mahari 3.6 millions, kiukweli wakati namwambia sura na akili yangu ilikuwa mbali sana na uzuri anafahamu kipato changu licha ya kuwa ni mwajiriwa lakini hakitoshi.

Niliona anaingiwa huruma akafikia kuniambia anatamani tuanze kuishi, nikaona sio issue akahamia kwangu hadi sasa. Ndg zake ameshakuja home, ila mzee wake kafichwa hadi sasa wanasubili nikatoe mahari na mimi mambo bado.

Kila nikijipanga mipango inapanguka, sio siri hicho kiasi kinanisumbua akili licha ya kuwa nimeambiwa mahari haimalizwi !

Wadau na wajuvi wa mambo haya naomba uzoefu wenu nifanye hatua gani kunusuru mahusiano yangu?
Acha woga mkuu mahar haimalizwi.
 
Huwa kuna muda najisikitikia sana ninapoanza kuwaza mambo ya kuoa.

Mahari Milioni!? Sijui milioni 1,2,3.....! mimi huyuu

Labda
 
Back
Top Bottom