Vijana tunaweza kuamua sasa kwa mabadiliko ya taifa letu.Kiongozi huyu ni kama mfano kwetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana tunaweza kuamua sasa kwa mabadiliko ya taifa letu.Kiongozi huyu ni kama mfano kwetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Jotham, Mar 17, 2012.

 1. B

  Baba Jotham Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kwa jina anaitwa Andry Nilina Rajoelina,amezaliwa mei 1974 na alikuwa ni mchezesha disko maarufu nchini madagascar lakini sasa ndiye raisi wa nchi hiyo aliyemwangusha aliyekuwa raisi wa nchi hiyo Marc Ravalomanana aliyewai kuchaguliwa mara mbili kuiongoza nchi hyo.Alikuwa na miaka 34 wakati anashika uraisi wa nchi hiyo mwaka 2009.Alishika madaraka hayo kutokana na nguvu za vijana wenzake.Kiuhalisia alikuwa anadaiwa miaka sita zaidi ili aweze kukidhi vigezo vya kushika wadhifa wa uraisi lakini kwa nguvu ya vijana waliotaka mabadiliko ya kweli jamaa akafanikiwa kuukwaa urahisi na kumuangusha mkongwe marc.Amekuwa chachu ya maendeleo kwa nchi ya madagasca
  Vijana wenzangu let us decide,kukaa kizani kwa mgao wa umeme usiokwisha inatupasa tuseme basi
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Madagasca marais wao wote under 40,safi sana lkn kwa huku ngoja tumuweke dr slaa kwanza kua rais then tujenge chama tupate vijana wa bavicha watuongoze!!
   
 3. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa kwenda pori tu! Sanduku la kura haliwang'oi magamba. Vijana tuamue sasa, tuache woga. Chaka muhim vijana!!!
   
 4. B

  Baba Jotham Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kitu kama hicho,othewise tutapiga kelele kila cku
   
 5. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kaka usipoteze amani sisi labda wao, sisi tuhamasishe watu watupigie kura na tuzilinde kwa nguvu zetu zote kama vijana, ila tujiandae kupmbana na polisi-ccm, tutawatoa tu madarakani. kama tumeamua tuanzae kutafuta kura moja kwa kila wiki tunayoishuhudia duniani, vijana tunaweza na tuamue sasa
   
 6. B

  Baba Jotham Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Nakubaliana na wewe kamanda bt mostly tunafail katika uwajibikaji hasa kupiga kura ili kufanya maamuzi thabit.Ni vema vijana tukashauriaka ktk hlo coz taifa limeshapoteza muelekeo na tunapoelekea nahc ni pagumu sana kama tutaacha hii hali iendelee
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Slaa huyu huyu mtuhumiwa??
   
 8. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndg yangu hawa magamba hawako tayari kuondoka kwa kura kwani angalia kila tunapo wabana wanatumia nguvu ya dola. Angalia leo mwanza kuna vijana wa cdm wamelazwa ndani eti kosa kumsindikiza na kumshangili dr wa ukweli. Kilicho baki ni nguvu ya umma kweli! Askari wenyewe wamegawanyika makundi kuna walio wakwetu. Mwisho wa kuonewa sasa ufike kwelikweli.
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Vijana lazima mjue mnataka nini; hamuwezi kuwaondoa magamba bila kuwashirikisha wazee wenye itikadi ya maendeleo!! Sio wazee wote wanashabikia uovu wa magamba kwani wengi wao ni wazalendo na wana uchungu na nchi yao ambayo watawarithisha wajukuu zao!! Vijana bila wazee wenye busara hamfiki popote.
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Kazimzumbwi na Pande kunatosha sana kuichukua Magogoni
   
 11. B

  Baba Jotham Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Sina uhakika sana bt nimejaribu kuchunguza ni kwamba ata wazee wetu haswa wenye busara zao wamechoka na muenendo wa taifa letu.Wanajua jeur na siasa chafu za watawala na wanashindwa kufanya chochote wanatuangalia vijana.Leo tumeona namna ambavyo pesa imethubutu kuziba midomo ya watu huku wengne wakiyachungulia makabuli kwa fitina za watawala wetu wanaojiita sikivu kwa wananchi
   
 12. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Vijana wa BAVICHA tena wakati tayari tunae Zuberi?
   
 13. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,164
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Baba Jotham na Wana JF,
  Hapa tunajifunza Vijana wanatakiwa kuandaliwa wakiwa wadogo, Elimu ya Uraia na makongamano yanahitajika ili Vijana wawe chachu ya maendeleo, Wazee wao kazi yao ni kutoa ushauri na kubariki kazi za vijana.
  My take: Mkubwa ni mkubwa, chachu ya maendeleo iwe kwa Vijana, tukiamua tunaweza
  Nawakilisha

   
 14. B

  Baba Jotham Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Nakubaliana na wewe kikarara,ni kwel elimu ya uraia ni muhimu kwa sisi vijana hasa katika harakat zetu za ukombozi na ustawi wa taifa hili bt kwa mtazamo wangv ni kama kuna challenge ktk elimu hyo ya uraia.Naona kuna jitihada za wazi za kutukwamisha vijana dats y ata yale masomo ya uraia na siasa wameyafuta kwenye mashule yetu ya msingi.Kwa mtazamo wangu ni kwamba wazee watawala wanapigana vita na sisi vijana,inaonekana wanahofu na hatma yao ya baadaye kutokana na maovu wanayoyafanya ktk nchi hii
   
 15. d

  dandabo JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  MABADILIKO! Hili neno inabidi lielezewe na lieleweke vizuri kwa mwananchi wa kawaida. Naona kwa waliowengi tunataka regime change bila kujiuliza hiyo regime mpya itakayofuata itafanya mabadiliko gani jatika maisha ya mwananchi wa chini. Nafikiri badiliko muhimu ni juu ya mtazamo wetu juu ya rasilimali zetu zilizotuzunguka! T tujielimishe jinsi ya kuproduce more from less! Tukifanikiwa hapo hata tukiwa na rais DJ itakua powa tu!
   
 16. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti gani ya kiitikadi baina ya January Makamba/Zitto na Jakaya Kikwete? Unadhani ukiwapa madaraka hao vijana kwa kigezo cha umri wao wataleta mabadiliko? You will be changing personalities kama ccm wanavyofanya na kamwe hutaleta mabadiliko ya maana.You need some ideological shift from the current non progressive thinking.Mbona tuliwapa vijana wizara ya Nishati na Madini[ Ngeleja na Malima] na kila leo tunalala gizani hakuna la maana wanalofanya!! Masha akapewa wizara matokeo yake mnayajua!! Uwezo na sio umri ni kigezo kitakacholeta maendeleo.
   
 17. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Vijana tunaweza tukishirikiana na wazee wazalendo wanayotaka kuiona nchi yao ikisonga mbele kimaendeleo.
   
Loading...