Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki.
Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha karibia wote hawaaminiki hii aliwakusanya nadhani mpk vijana wake waliowazaaa.
Leooo hii ndo kali sasa mbunge anasimama anasema vijana tunatatizo la nguvu zakiume.
Sasa sijajua wanatutafuta nini ajira hawatupi wanabaki kutusimanga sasa kama hawatutaki ni bora watuombee hifadhi ya uakimbizi nchini Canada maaanake si manyanyaso haya.
Ajira mtunyime mambo mengine pia mtusingizie sio pouwa tuheshimuni bhasi hata kama hatuna kazi.
Naomba namba ya yule mbunge wa Bukoba afundishwe kazi.