Vijana tuna nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii

lucasogutu

Member
Nov 24, 2010
48
13
Wasalaam,

Nina changamoto kubwa kwa vijana wenzangu, kwani sisi tuna nafasi kubwa si tu ya kuhamasisha bali kutekeleza wajibu zetu kwa kujishughulisha na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake anaweza kufanikisha hili. Nakaribisha mawazo ambayo yanaweza kujenga katika hili.
 
If and only if we join and support Chadema.

Vinginevyo vijana wa nchi hii wataendelea kuwa vibaka na waokota chupa za plastiki.
 
Wasalaam,

Nina changamoto kubwa kwa vijana wenzangu, kwani sisi tuna nafasi kubwa si tu ya kuhamasisha bali kutekeleza wajibu zetu kwa kujishughulisha na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake anaweza kufanikisha hili. Nakaribisha mawazo ambayo yanaweza kujenga katika hili.

Kwanza tudai KATIBA mpya kwanza ndi hayo unayo yasema yatafanikiwa kwa haraka sana bila KATIBA mpya tuna twanga maji kwa kinu mkuu hili liko wazi kwani KATBA inatufunga na vipengele vingi sana na huko kuna wajanja serikalini wana jua kuichezea KATIBA yetu sasa ni wakati wa wabunge vijana na vijana wenzao wana harakati bila kujali itikadi za kichama ni kuungana na kudai KATIBA mpya kwea maendeleo yetu na vizazi vijavyo period.

Na huu ni muda muafaka wa kuianika KATIBA ya Nchi Humu JF ili tuanze kuidadavua mapema tujue mapungufu na nyongeza ziwekwe wapi
 
Ni KATIBA MPYA basi!!!!

Wale Wanaotafuta NISHANI NDOGONDOGO YA VYEO KWA SASA wahamie NCCR-Manunuzi. Kwetu sisi VIJANA narudia, sisi VIJANA tunajua fika ni aina gani ya mabadiliko tunayoitafuta hapa Tanzania. Mama Celina Kombani, VIJANA WAKO tunakuja, NISHANI KUU ZAIDI ambayo ni KATIBA MPYA tunaitaka sasa hivi na wala si kesho.

Mmbwa anashiba kila siku kamwe hatoendelea kucheza na mmbwa wa kuganga na njaa miaka yote na kutufanya VIJANA tuonekane mazezeta mbele ya waungwana. Ndugu 20 % na Prof J, tungeni nyimbo za mabaliko ya kweli (na vijana kucharukia ghiliba na peremende ndogo ndogo) mara mmoja vijana tunataka CHETU. Naona wazee wachache wanatupotezea kila siku hapa.

Kwa mtaji huu, 'Mwamuindi' bado angeweza kufyatua risasi kwa mara nyingine kwa 'Dr Klerruu'. Ama mharakishe mchakato wewenyewe au kama majini wanakiu sana na damu watakunywa zetu. Tupo na tunakuja si kipindi kirefu!!!
 
Back
Top Bottom