Vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Mzee Jakaya Kikwete na Edward Lowassa

richmond ni picha tu imetengenezwa.hakukua na kitu cha.namna hiyo.
kilichomponza lowasa ni tamaa ya uongozi tu basi.

na yule mkwele alimwambia hicho unachotaka hukipati labda nife kesho.
hapo ndio ulafiki ulipoishia.
ndio ujue mkwele sio mtu mzuri.
Alimchinja mwenzake huku akimchekea!!!
 
Safari yao ilikua ya kimaslahi ilikua Kikwete aje amuachie kijiti Lowassa. Wazungu wanakwambia divide and rule kamati ya Fitna ya kina Sitta na Mwakyembe ikaja kuwavuruga hapo ndio Things fall apart Lowassa Uvumilivu ukamshinda akabwaga manyanga hakutaka kukomaa nao JK akapambana mwenyewe mpaka muhula wake ulipoisha wakati huo tayari JK alikua kashazungukwa na team Mwakyembe.
Safari yao haina tofauti na Kenyatta rutto
 
Nasikia ULUTHERI WA LOWASA (KKKT) ndio ulimnyima urais Lowasa Coz Martin luther alikua Padri daraja la chini mno kuanzisha kanisa!!Wenye nchi wa s.t peters waliona ni fedheha kumpa mlutheri nchi Angalau angekua Mu Anglican angepewa coz Muasis wake ni Askofu wa kikatoliki alieoa!!!!!!CATHOLIC CHURCH MOVEMENT (CCM ) WAKAMGOMEA LOWASA ETI!!!
 
Kwahiyo hutaki tena uteuzi Pasco?
Mkuu Chaliifrancisco , mimi Pasco Mayalla, hata mara moja, sijawahigi kutaka uteuzi wowote, ila humu jf, tuna members wengi wenye viwango tofauti tofauti vya uelewa, wengine ni ma GT, wengine ni watu wa kawaida, wengine ni vilaza, na wengine ni wajinga kabisa, yaani empty shells, hivyo wale ma GT, kiukweli wananielewa vizuri na wana uwezo wa kusoma in between the lines, wakinisoma, wananielewa na huwezi kumsikia GT yoyote akisema Pasco anatafuta uteuzi. Wengi wa wanaodhani natafuta uteuzi ni vilaza tuu na wajinga wajinga.

Mimi ni mjasiriamali, ambaye kwenye kodi yangu pekee, at optimum, inawalipa mishahara ma DC 5, ma RC 3 na Wakurugenzi 2. Ila ni kweli Blaza alipoingia, aliponiita njaa, kusema ukweli kauli nyingine zina nguvu, mambo yangu yaliniendea kombo, ofisi nikahama, nikapunguza wafanyakazi, na kweli njaa ikanitembelea, na Corona ilipoingia, ndio ikanimaliza kila kitu, na hadi sasa mambo yangu bado hayajatengamaa, ila sitafuti uteuzi, sijawahi kutafuta uteuzi na wala sitakuja kutafuta uteuzi, mimi ni masikini jeuri, kama alivyo Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda.
P
 
I declare interest Mimi ni muumini wa Kikwete na Lowassa, Historia inaeleza kua hawa jamaa walikua marafiki wakubwa sana mpaka lilivokuja suala la Richmond inasemekana ndio lililowavuruga

Lakini pamoja na kugombana mmoja akiwa ni mwenyekiti wa CCM taifa mwingine akiwa mgombea urais wa chama pinzani lakini bado waliheshimiana hawajawahi kutukanana jukwaani ninachokumbuka Mimi kuhusu Lowassa kila akipanda jukwaani alikua anasema rafiki yangu kaharibu nchi wakati Jk alikua akisema mwenye Richmond chadema wanae hakuwahi kumwita Lowassa fisadi.

Natamani tupate mwandishi mmoja afanye interview na hawa jamaa aangalie Historia yao wapi wametoka mangapi wamefanya pamoja je nini kiliwagombanisha na status yao kwa Sasa ipoje, nadhani itakua documentary nzuri mno.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
@Pascal Mayalla labda atajaribu kufanya hii interview kwa niaba ya wana JF
 
Safi sana mkuu. Endeleza mapambano. Mambo yatarudi kwenye reli tu cha muhimu ni kutokukata tamaa.
 
Ila naona kama Kikwete ni snitch vile

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kikwete alikuwa rais bogus sana tuliyewahi kuwa naye; alikuwa na mitazamo mifupi mifupi tu kuhusu nchi. Aliwahi kuesema kuwa akisafiri kwenda nje anarudi na kibaba, yaani alitaka kujenga taifa la kutegemea vibaba kutoka nje! Mtu wa ajabu sana yule, na nadhani mwendo wa vibaba unarudi tena kupitia mlango wa nyuma.
 
Ni kweli Kikwete hakuwa mtu mzuri kwa nchi hii nadhani hata kupatikana kwa Magufuli kuna mkono wake akidhani atam manage anavyotaka yeye kumbe ndiyo amekuja kuharibu kabisa

Watu kusema wanammiss Kikwete kwenye utawala wa Magufuli ni kutokana na udikteta wa Magufuli tu lakini siyo kwamba Kikwete alikuwa mzuri sana

zile kelele za kipindi kile watu kumtamani Kikwete arudi zimechanganya
Hakuna anayemuhitaji

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya leo hana uwezo wa kwenda na hii kasi apumzike kulinda heshima yake
Kwasasa siasa zinahitaji kutumia akili nyingi sio kirahisi tu kama zamani educated wamekuwa wengi wanahoji Kisomi lazima ujipange siyo kuburuza watu tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Lowasa na Jk hawakuwahi kuhasimiana ila picha lilitengenezwa kuondoa ushawishi wa Lowasa uliokua kwa kasi na kutishia usalama wa nchi.
 
Ni kweli Kikwete hakuwa mtu mzuri kwa nchi hii nadhani hata kupatikana kwa Magufuli kuna mkono wake akidhani atam manage anavyotaka yeye kumbe ndiyo amekuja kuharibu kabisa

Watu kusema wanammiss Kikwete kwenye utawala wa Magufuli ni kutokana na udikteta wa Magufuli tu lakini siyo kwamba Kikwete alikuwa mzuri sana

zile kelele za kipindi kile watu kumtamani Kikwete arudi zimechanganya
Hakuna anayemuhitaji

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya leo hana uwezo wa kwenda na hii kasi apumzike kulinda heshima yake
Kwasasa siasa zinahitaji kutumia akili nyingi sio kirahisi tu kama zamani educated wamekuwa wengi wanahoji Kisomi lazima ujipange siyo kuburuza watu tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
At least Magufuli alikuwa na dira yake ya nchi, Kikwete hakuwa na dira yoyote. Tofauti yao ni kuwa Kikwete alikuwa akitabasamu wakati Magufuli alikuwa akifoka. Watanzania wengi wanapenda kuambiwa wanayotaka kusikia tu, na inapotokea kuna kiongozi anayewaambia ukweli wasiotaka kusikia basi wanamchukia!
 
I declare interest Mimi ni muumini wa Kikwete na Lowassa, Historia inaeleza kua hawa jamaa walikua marafiki wakubwa sana mpaka lilivokuja suala la Richmond inasemekana ndio lililowavuruga

Lakini pamoja na kugombana mmoja akiwa ni mwenyekiti wa CCM taifa mwingine akiwa mgombea urais wa chama pinzani lakini bado waliheshimiana hawajawahi kutukanana jukwaani ninachokumbuka Mimi kuhusu Lowassa kila akipanda jukwaani alikua anasema rafiki yangu kaharibu nchi wakati Jk alikua akisema mwenye Richmond chadema wanae hakuwahi kumwita Lowassa fisadi.

Natamani tupate mwandishi mmoja afanye interview na hawa jamaa aangalie Historia yao wapi wametoka mangapi wamefanya pamoja je nini kiliwagombanisha na status yao kwa Sasa ipoje, nadhani itakua documentary nzuri mno.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Amini huyo mwandishi Bongo hayupo labda tufanye kumkopa toka Afrika kusini
 
Kama mlikuwa wote gizani na mkala kama Tola unategemea in a neon daylight mtasuntana?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom