Vijana tuna lakujifunza kwenye sakata la Sabaya na Makonda

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,050
5,078
Kila jambo linalotokea ktk mazingira yako huwa ni somo ukiwa na akili. Wakati Aliyekua RC wa Dar es Salaam Paul Makonda alipoondolewa watu ktk mitandao ya kijamii walilipuka kwa shangwe na nderemo. Na hata leo baada ya Mh. Rais kumsimamisha Aliyekua DC huko Wilaya ya Hai bwana Sabaya tumeshudia furaha na sherehe kubwa ktk mitandao ya kijamii. Niweke bayana tu kua hawa sio viongozi pekee kuwahi kuondolewa ktk nafasi zao kwa miaka ya karibuni, wengi wameondolewa lkn kwakweli reaction ktk jamii haijawahi kua kubwa kama kwa hawa mabwana wawili.
Tafsiri rahisi tu ni kua hawa watu wametumia vibaya madaraka yao kuumiza na kukandamiza watu, wamewatenda vibaya watu aidha kwa matendo au kwa vinywa vyao na hivi sasa wanavuna walichopanda.
Rai yangu kwa vijana haswa mnaopata nafas za kuongoza watu ktk ngazi yoyote ni kuishi na watu vyema, kuwaongoza huku ukijua hayo madaraka ni dhamana ya muda mfupi na uyatumie kujijenga au kujibomoa. Kwa sisi waislam tunafunzwa kua dhamana ulonayo ujiandae kujibu vp uliitumia, hivyo tujipange huku tukifaham fika kua tutaulizwa na Aliyetuimba. Lkn pia ujue wewe kupewa nafasi ya kuongoza watu haina maana kwamba u mbora kuliko wao, ama una elimu kuubwa kuwashinda, ama una akili na iq kuubwa sana, ujue ni dhamana ya muda tu na ipo siku utaondoka kwa namna yoyote iwe kutangulia mbele ya Muumba ama kuondolewa.
Bila shaka kina Ally Hapi na Chalamila wana lakujifunza sema ni wakaidi huwa wanajitiaga upofu.
 
nadhani ni busara zaidi kuendelea kujifunza kutoka kwa watu wenye utu ambao hukosea na kisha kuomba msamaha na sio wanyama wenye muonekano wa kibinadamu
 
Kila jambo linalotokea ktk mazingira yako huwa ni somo ukiwa na akili. Wakati Aliyekua RC wa Dar es Salaam Paul Makonda alipoondolewa watu ktk mitandao ya kijamii walilipuka kwa shangwe na nderemo. Na hata leo baada ya Mh. Rais kumsimamisha Aliyekua DC huko Wilaya ya Hai bwana Sabaya tumeshudia furaha na sherehe kubwa ktk mitandao ya kijamii. Niweke bayana tu kua hawa sio viongozi pekee kuwahi kuondolewa ktk nafasi zao kwa miaka ya karibuni, wengi wameondolewa lkn kwakweli reaction ktk jamii haijawahi kua kubwa kama kwa hawa mabwana wawili.
Tafsiri rahisi tu ni kua hawa watu wametumia vibaya madaraka yao kuumiza na kukandamiza watu, wamewatenda vibaya watu aidha kwa matendo au kwa vinywa vyao na hivi sasa wanavuna walichopanda.
Rai yangu kwa vijana haswa mnaopata nafas za kuongoza watu ktk ngazi yoyote ni kuishi na watu vyema, kuwaongoza huku ukijua hayo madaraka ni dhamana ya muda mfupi na uyatumie kujijenga au kujibomoa. Kwa sisi waislam tunafunzwa kua dhamana ulonayo ujiandae kujibu vp uliitumia, hivyo tujipange huku tukifaham fika kua tutaulizwa na Aliyetuimba. Lkn pia ujue wewe kupewa nafasi ya kuongoza watu haina maana kwamba u mbora kuliko wao, ama una elimu kuubwa kuwashinda, ama una akili na iq kuubwa sana, ujue ni dhamana ya muda tu na ipo siku utaondoka kwa namna yoyote iwe kutangulia mbele ya Muumba ama kuondolewa.
Bila shaka kina Ally Hapi na Chalamila wana lakujifunza sema ni wakaidi huwa wanajitiaga upofu.
Zzmi zao zinakuja
 
Pole makonda ujifunze utu
Makonda is now past tense, kwanini mnapenda kumpa promo asiyostahili? Muacheni aendelee kufanya kazi yake ya udalali kwa waarabu wake!!
Makonda sio muaminifu kufanya kazi serikalini na hili alilidhihilisha alipotaka kuingiza makontena bila kulipia ushuru. Kufuatana na mafundisho tunajua kuwa mtu yeyote ambae sio muminifu pia ni MUONGO hivyo hafai kabisa kupewa uongozi.
 
Watu wana stress za maisha hivyo wakisikia kuna mtu kafikwa na jambo baya hufarijika na kufanya sherehe wakiamini kuna mwenzao mwingine kaongezeka kuungana nao kwenye stress.

🤣🤣🤣🤣
 
Ukiishi vibaya na watu hali hiyo lazima itakukuta

Ova
 
Kila jambo linalotokea ktk mazingira yako huwa ni somo ukiwa na akili. Wakati Aliyekua RC wa Dar es Salaam Paul Makonda alipoondolewa watu ktk mitandao ya kijamii walilipuka kwa shangwe na nderemo. Na hata leo baada ya Mh. Rais kumsimamisha Aliyekua DC huko Wilaya ya Hai bwana Sabaya tumeshudia furaha na sherehe kubwa ktk mitandao ya kijamii. Niweke bayana tu kua hawa sio viongozi pekee kuwahi kuondolewa ktk nafasi zao kwa miaka ya karibuni, wengi wameondolewa lkn kwakweli reaction ktk jamii haijawahi kua kubwa kama kwa hawa mabwana wawili.
Tafsiri rahisi tu ni kua hawa watu wametumia vibaya madaraka yao kuumiza na kukandamiza watu, wamewatenda vibaya watu aidha kwa matendo au kwa vinywa vyao na hivi sasa wanavuna walichopanda.
Rai yangu kwa vijana haswa mnaopata nafas za kuongoza watu ktk ngazi yoyote ni kuishi na watu vyema, kuwaongoza huku ukijua hayo madaraka ni dhamana ya muda mfupi na uyatumie kujijenga au kujibomoa. Kwa sisi waislam tunafunzwa kua dhamana ulonayo ujiandae kujibu vp uliitumia, hivyo tujipange huku tukifaham fika kua tutaulizwa na Aliyetuimba. Lkn pia ujue wewe kupewa nafasi ya kuongoza watu haina maana kwamba u mbora kuliko wao, ama una elimu kuubwa kuwashinda, ama una akili na iq kuubwa sana, ujue ni dhamana ya muda tu na ipo siku utaondoka kwa namna yoyote iwe kutangulia mbele ya Muumba ama kuondolewa.
Bila shaka kina Ally Hapi na Chalamila wana lakujifunza sema ni wakaidi huwa wanajitiaga upofu.
Naona Le Mutuz hajampost kabisa Sabaya na msemo wake wa kanyaga twende mama tumechelewa sana
 
Masahihisho: Makonda hakuwahi kutumbuliwa wala kusimamishwa. Alijitoa mwenyewe kwenda kugombea ubunge Kigamboni.
 
Back
Top Bottom