SoC01 Vijana tukifanya hivi, tutafika mbali

Stories of Change - 2021 Competition

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa kupata fursa kama hii katika kukuza na kukifikisha mbali kiswahili
Inatia moyo kuwa kumbe bado watu wanamapenzi ya dhati na lugha yetu ya kiswahili.

Turudi katika mada husika

Vijana kama ijulikanavyo ni taifa la kesho. Lakini mpaka sasa vijana wengi tunakumbwa na changamoto nyingi zikiwepo zingine zakujitaftia kama vile
  • maradhi
  • ulevi wakukisiri

Miezi tu iliyopita apo nyuma nilifanikiwa peleka gunia za viazi mkoa flani nikafurahi sana baada yakukuta kijana mwenzangu akiwa anapambana pale kama dalali wa viazi alinifwata nikamkabizi mali akiniaidi ndani ya siku tatu nije kuchukua pesa yangu
Basi nilimkabizi mzigo nakuendelea na mambo mengine uku nikiesabu siku maana biashara naelewa nyingi mjini ni mali kauli
( mali kauli ni biashara yakutoa mzigo kufwata pesa siku mtakayo kubaliana)
Siku ya tatu ilivyo fika niKaona kwakua najua ofisi ilipo acha nimfwate nikachukue pesa ili nipange safari yakwenda kufwata mzigo mwingine.
Nilipo fika tu jamaa alinipiga kiswahili nikaona isiwe shida huwaga kukwama kunatokea, nikampa wiki wote tukakubaliana

Nikiwa katika harakati zangu zingine nikipita ofisini naona gari zinaleta mzigo kila nikipita lazima nikute mzigo unashushwa ninepita mara tatu (3). Binafsi nikawa nafurahi maana najua nikimfwata siku sahihi tuliyo kubaliana kulioana itakua nikuchukua pesa nakurudi bush

Siku ikawajia nafika jamaa akanipiga kiswahili tena nikagoma nikawa mkali akatoka sikujua alipo kwenda kwa uo mda. Ila alivyo rudi baada Ya dakika kama 15 alirudi na ela yangu cash

Nilijiuliza sana kwanini alikua anagoma kunilipa mda wote huo mpaka niwe mkali?

Nilifwata mzigo mnazani nilivyo leta tena nilimpa mzigo ?

Vijana wenzangu huu ni mtazamo tu:
1, Tuache kukwamishana, nikimaaanisha tuache kuzibiana pale fursa zinapo jaribu kututembelea

2, Tuache tabia ya kutokujali swala zima la muda. Jamani mda nikitu ambacho akina kumsubiri mtu muda unakwenda haujui kumsubiri mtu

3, Tushikamane vijana, tuache uoga wakuogopa kupitwa kimaendeleo kwa kumsaidia mwenzako unaejua ukimsaidia atafika mbali huwezi jua watoto wako nani uko mbele watakutana nao!

4, Kwa wale viongozi mlio kwenye wadhifa fulani jitaidini kuto kutofautiana katika malengo ya magoli mliyo jipangia kwa pamoja na mnao fanya nao kazi.

5, mazoezi ni ya muhimu sana jijengee ata kamfumo cha dakika 30 za mazoez ata dakika tano elimradi jua lisizame ujafanya zoezi lolote.

6, tujitaidi kutokimbia majukumu yetu, mfano wale wanao kimbia watoto na wake zoa huu ni unyama wa kusikitisha. Ni kwanini ulete kiumbe duniani ukitese? Tujipange maisha sio kukurupuka

7, Tuache kuzungukana katika kila nyenzo ya maisha.

8, Tujitaidi kutumia fursa vizuri kama za teknolojia ili kukuza uchumi sio kudidimizana. Mfano tunaona siku hizi upigaji wa mitandaoni unakua kwa kasi mno watu wanatumia akili kubwa mno siku izi kuumiza vijana wenzao TUACHE HIVI JAMANI.

9, tupunguze kulalamika ukifanya kazi kwa bidii inalipa aminini

10, Tuongeze uaminifu kwa kila jambo tufanyalo hapa ndipo watu wanapotaka Sana maana hata kupata viongozi wazalendo uaminifu ni jambo kubwa kwa kila binadamu hasa hasa kwetu vijana maana nguvu tunazo na akili pia tunazo

Hakika vijana tunapaswa kusaidiana pale msaada unapo itajika

Asanteni

"Mimi ni yule rafiki tusio ongea sana tusio tumiana sana sms. Ila nauwezo wakukusaidia pale shida inapotokea"
 
Asante
 
Umenena vyema sana mkuu nadhani tukichukua points kadhaa hapa tukaondoka nazo tutarudi na mrejesho mzuri baadae.
 
Back
Top Bottom