Vijana tujifunze kwa Haji Manara tuache ushabiki usio kuwa na masilahi

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,262
12,835
Imetokea nimempenda Hajji Manara kwa mbwebwe zake na ushawishi wake katika Tasinia ya mpili kubali au kataa. Mimi binafsi sio mshabiki wa timu za bongo kwasababu zangu binafsi, ila mke wangu anapenda sana simba.

Hajji Manara ni mtu ambae ametumia kipaji chake cha usemaji ku jipatia masirahi 9m @ kwa mwezi sio haba, anakipaji cha peke hapa Tanzania cha kujua ku-promote soccer, ni mjinga tu ndo atakae mbeza, waandishi wa habari wana mfuata hata nyumbani kwake kupata taarifa mpya zakuwandika.

Katika maisha ushabiki sio kitu bila faida mfia timu na huna masilahi yoyote na timu isipokua sifa paka kupigana na mashibiki wenzako, ni upumbavu, vijani badilisheni ushabiki wenu na ushawishi wenu wa timu zenu uwe na faida kwa kununua hisa au kwa ajirawa wazungu wanatuzidi katika hili wengi wana hisa katika timu zao wanazo shabikia sio kua fanatic fan for nothing.

Big up Hajji Manara I like your style.
 
Jamaa anastahili tuzo,ana uthubutu,ushawishi sio mwoga
Hajji Manara ni model kwa wasemaji wote Tanzania, acheni mahaba ya Timu zenu bila faida wakati familia zenu zina njaa kijana unashida kijiueni kuongelea simba na Yanga bila faida yoyote ni ujinga mwenzako unaongelea uko unalipya mshahara unao zidi wa professor wa chuo kikuu udsm.... ...
 
Back
Top Bottom