audrey ryan
Member
- Apr 8, 2016
- 7
- 2
Habari wana ndugu humu wa JamiiForums
Nimegundua asilimia kubwa hasa vijana tumesahau sana kuweka akiba katika vipato vyetu japo najua kuna changamoto kubwa katika vipato vyetu.
Lakini kama tutaweza kumudu kuwa na tabia ya kuweka akiba ya vipato vyetu tuweza kupunguza sana kuishi kwa kutegemea mikopo ambayo inatufanya tunakuwa watumwa sana wa vipato vyetu .