Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

If you see a gold rush, sell shuvels
Huyu jamaa anasema kuna mgodi umetema ili atuuzie makoreo yake wakati yeye hajawahi hata kuzama shimoni
Aiseee.........Asiyejua maana...........Uzuri siku hizi ukiandika neno Hen kwenye keyboard anatokea kuku(mtetea).Hivyo mpo na wafugaji wa kwenye keyboards ambao mnajua kuliko wafugaji wa kule Chaugingi
 
BIASHARA ZA NADHARIA ZINALIPA SANA AISEE ASIKWAMBIE MTU

RAHA YA NGOMA INGIA KATI UCHEZE
Wenzako tulishaianza kitambo na sasa tunaburudika.......ndio maana tunawaletea wanaotaka kuingia kanuni/sheria za kuingia kwenye ngoma yenyewe kabla baunsa hajawatoa nje ya ukumbi kwa kipigo
 
Una soko la kutosha nikuuzie hio dhahabu isiyoonekana. Nina mdau ana majogoo kama 1000 alikuwa anataka kuuza msimu wa sikukuu (bei yake ili apate return on investment) ni elfu 20,000/= Je nikugawie huo mchongo wa dhahabu ?
Hadi jana jioni tumemaliza kuuza wa kwetu zaidi ya 1200 na bado mahitaji ni makubwa.Huyo jamaa yako unayemdalalia inawezekana wewe ndie ulimdalalia pia vifaranga ukapiga cha juu kwa kumdanganya soko liko nje nje sasa unataka upumulie kwangu That is never possible......Lakini fact ni kwamba,baadhi ya watu wamekuwa wakifuga kwa kufuata mkumbo.Ndio maana kwenye kitabu tumeainisha namna ya kufanya market research,market analysis,Market creation na mambo mengine mengi sana.Fikiria sisi tunafuga kuku wanataga tunauza mayai tray moja 12000 lakini next door kunakuwa na mtu mwenye mayai hayohayo na anauza 10000 lakini analalamika hakuna soko na yanamchachia.Kuna siku vijana tutaelewa hili somo....na mimi nadhani ni siku wale wajomba,shemeji wanaotuweka mjini watakapokuwa wamekufa/kupoteza uwezo ndio tutajaelewa haya mambp.Sisi tuliofundishiwa huko Mkomilo haitupi shida kuanza mapema
 
Utajiri Nje Nje, Tatizo Vijana Wavivu
Hapo Mtoa Mada Yupo Jukwani Kibindoni Kakusanya Kiingilio
Watu wengine tulizaluwa na chapa ya "Marufuku kukata tamaa" Tunachofanya ni kujaribu kuweka maarifa na elimu ama ujuzi tulioupata katika ufugaji ili angalau watoto na wajukuu wako waje wapitie na kupata uelewa sababu hiki kizazi cha nyoka hakiamini chochote.
Nashukuru umenisaidia kuwa vijana ni wavivu japo sio wote.Wale wanaochukua marifa na kuyafanyia kazi hupata mafanikio kwani wale walionunulia simu hela za mkopo chuoni na kuunga bando kwa hela za mzazi aliyemuuza kuku kule ushirombo ili mwanaye asome aje amsaidie ndio jawa wanakaa kwenye makochi ya Shemeji sebuleni na kuaminisha dunia kuwa kila kitu hakiwezekani.
 
Watu wa aina yako tunawaita vision destructors.......Anyway nikusaidie hivi tu,nilimaliza degree yangu ya kwanza miaka kumi na kitu iliyoisha na sikuwahi kupata ajira sahihi ya nilichosomea.Kiufupi elewa kuwa niliamua kujiwekeza katika ufugaji wa kuku tena nikapata hasara za kutosha hapo awali sababu ya kukosa elimu sahihi ya ufugaji.Hata niliyokuwa naipata mtandaoni sio yote ilikuwa sahihi.Lakini nikajichimbia zaidi kupata maarifa sahihi kwenye vyanzo sahihi.Naamini hata wewe ni ngumu sana kuweka degree kando na kwenda kusoma Diploma ya mifugo.......elewa hapo sasa.

Wewe ambaye huamini katika kununuliwa kitabu sio lazima,mtandao uko huru kwa kila mmoja,ingia huko,google halafu fuga ukimaliza safari njema tukutane sokoni....

Yani unataka nikutajid mafanikio yangu a-z? Kama nilinunua nyumba nikuambie? Kama nilinunulia gari nikuambie? Hiyo haiwezi kusa the best approach katika hili.Nadhani kukueleza mafanikio yoyote niliyonayo sasa tangia nimemaliza degree ya kwanza/pili n.k,yamechangiwa sana na kuku zaidi ya mshahara.

Anyway hayo yote uliyosema sijui ya kupanda kwa chakula cha kuku ndio maana tuna mada katika kitabu inayoelezea kuhusu namna ya kuandaa mwenyewe chakula cha kuku kikiwemo chakula mbadala.Ndio sababu pia kuna mada inahusu Namna ya kutafuta masoko.Hii tabia ya kuanza kupinga wazo/juhudi za mtu bila kujitafutia maarifa ndio inafanya vijana wengi wanabaki kijiweni kuikilosoa serikali kuwa haitoi ajira lakini ukiwauliza wao wenyewe wanataka ajira gani hawajui
Haahaa mkuu, twende taratibu, binafsi unaleta kwenye platform? Mimi kuku nimefuga na ninafuga sana. Mimi ni miongoni mwa Tz wachache tuliokitana na Mkurugenzi wa KegFarms ambao ndo wazalishaji wa kuroiler India kwenye hotel ya coral reef.
So ni naongea kitu ninachokijua. Kwenye kuandika kila mtu anapata mafanikio. Kumeshakuja stori za green house, hydroponic, kware, sungura nk. Wengi waliowakimbilia ninyi wazee wa fursa waliishia kupoteza.
Kilimo, ufugaji vinalipa lkn siyo kama mnavoandika na kuielezea, waambieni watu ukweli siyo mnaeleza faida tu. Ufugaji una changamoto sana tofauti na unavoelezwa. Wewe unalenga kuuza vitabu vyako na si ufugaji. Ikiwa unavision yako leave your vision. Ukija hapa jukwaani tutakuchalenge tu. Unaongea miaka kumi kumaliza chuo mwezio nina miaka zaidi ya 17 ya ufugaji wa kuku, kuanzia broiler, layers, Malawi, sasso, kuroiler nk.
Nawapinga sana wale ambao Mnalenga kupata hela huku mkiacha watz wakiumia na hasara
 
Hadi jana jioni tumemaliza kuuza wa kwetu zaidi ya 1200 na bado mahitaji ni makubwa.
Wewe ukiweza sio kila mtu ataweza au ameweza... wewe umeleta story kwamba kuku ni dhahabu mimi nikafanya uungwajna kukwambia kwamba kuna jamaa yangu anayo hio dhahabu unaweza ukamsaidia kui-dispose sababu naona kama inamuwia ngumu kuiondoa
Huyo jamaa yako unayemdalalia inawezekana wewe ndie ulimdalalia pia vifaranga ukapiga cha juu kwa kumdanganya soko liko nje nje sasa unataka upumulie kwangu That is never possible......
Aliyesema soko lipo nje nje ni nani ? Mimi au wewe wewe ndio umeita hii dhahabu hence nikadhani soko litakuwa nje nje kwahio kumbe halipo nje nje ?
Lakini fact ni kwamba,baadhi ya watu wamekuwa wakifuga kwa kufuata mkumbo.Ndio maana kwenye kitabu tumeainisha namna ya kufanya market research,market analysis,Market creation na mambo mengine mengi sana.
That's is everything in life kuna vitu hata kama havina value ukiwa a good salesperson unaweza kuuza (selling ice to eskimos) ila kuna vitu kama Bangi n.k. vinajiuza hata kama sio muuzaji mzuri sasa kama na hili lipo katika category hio ni kwamba trick ipo kwenye marketing na promotion na sio product per se
Fikiria sisi tunafuga kuku wanataga tunauza mayai tray moja 12000 lakini next door kunakuwa na mtu mwenye mayai hayohayo na anauza 10000 lakini analalamika hakuna soko na yanamchachia.
Sasa kwanini usichukue hayo yake kwa elfu 10 na wewe uuze hio elfu 12 au kwako faida ya elfu 2 kwa tray sio faida (yaani more profit with less overheads/work)
Kuna siku vijana tutaelewa hili somo....na mimi nadhani ni siku wale wajomba,shemeji wanaotuweka mjini watakapokuwa wamekufa/kupoteza uwezo ndio tutajaelewa haya mambp.Sisi tuliofundishiwa huko Mkomilo haitupi shida kuanza mapema
Kitabu chako ni cha ufugaji kuku / kutafuta market au mipasho ? Ushauri wa bure the customer is always right even if he is not; kwahio kuliko kuleta kejeli na mipasho jaribu kuelewesha kauli ikiwa nzuri hata critics wanaweza wakawa potential wateja sasa unapogeuka gwiji wa mipasho unless unauza mipasho...., kwahio wajomba na shemeji hawawezi wakamkopa mtu ili anunue kitabu chako ? au wao hawataki kujua hio dhahabu ?
 
Mimi nasubiri Siku ukikuta mwamba wa dhahabu njoo utushtue Kama hivi.
Endelea kusubiria wenzako watoboe mwamba wazame halafu wakishapata huo mwamba wa dhahabu waje wakushtue.Nadhani ndio maana ukachagua jina hilo pia.Ha haaaaa
 
Wewe ukiweza sio kila mtu ataweza au ameweza... wewe umeleta story kwamba kuku ni dhahabu mimi nikafanya uungwajna kukwambia kwamba kuna jamaa yangu anayo hio dhahabu unaweza ukamsaidia kui-dispose sababu naona kama inamuwia ngumu kuiondoa

Aliyesema soko lipo nje nje ni nani ? Mimi au wewe wewe ndio umeita hii dhahabu hence nikadhani soko litakuwa nje nje kwahio kumbe halipo nje nje ?

That's is everything in life kuna vitu hata kama havina value ukiwa a good salesperson unaweza kuuza (selling ice to eskimos) ila kuna vitu kama Bangi n.k. vinajiuza hata kama sio muuzaji mzuri sasa kama na hili lipo katika category hio ni kwamba trick ipo kwenye marketing na promotion na sio product per se

Sasa kwanini usichukue hayo yake kwa elfu 10 na wewe uuze hio elfu 12 au kwako faida ya elfu 2 kwa tray sio faida (yaani more profit with less overheads/work)

Kitabu chako ni cha ufugaji kuku / kutafuta market au mipasho ? Ushauri wa bure the customer is always right even if he is not; kwahio kuliko kuleta kejeli na mipasho jaribu kuelewesha kauli ikiwa nzuri hata critics wanaweza wakawa potential wateja sasa unapogeuka gwiji wa mipasho unless unauza mipasho...., kwahio wajomba na shemeji hawawezi wakamkopa mtu ili anunue kitabu chako ? au wao hawataki kujua hio dhahabu ?
Hey,ufugaji kuku hauna uhusiano wowote na stori za vijiweni.Ni biashara serious kabisa tena yenye kuhitaji umakini wa kiwango cha lami.Huwa nipo busy sana kuwahudumia na kuwajali wateja ambao wako serious na wenye nia ya kuanzisha ufugaji.Nyie wa michongo hayo ndio majibu yanayowastahili.Hizo habari za kuna jamaa yangu.......sijui kauze 12 ule hapo 2 kwangu ni udalali na mimi sio dalali kamwe.Pole
 
Endelea kusubiria wenzako watoboe mwamba wazame halafu wakishapata huo mwamba wa dhahabu waje wakushtue.Nadhani ndio maana ukachagua jina hilo pia.Ha haaaaa
Ohoo kumbe hakuna mafanikio mepesi.
Sasa kwanini unataka kuwaaminisha vijana kuwa ufugaji wa kuku ndo mafanikio mepesi.
 
Haahaa mkuu, twende taratibu, binafsi unaleta kwenye platform? Mimi kuku nimefuga na ninafuga sana. Mimi ni miongoni mwa Tz wachache tuliokitana na Mkurugenzi wa KegFarms ambao ndo wazalishaji wa kuroiler India kwenye hotel ya coral reef.
So ni naongea kitu ninachokijua. Kwenye kuandika kila mtu anapata mafanikio. Kumeshakuja stori za green house, hydroponic, kware, sungura nk. Wengi waliowakimbilia ninyi wazee wa fursa waliishia kupoteza.
Kilimo, ufugaji vinalipa lkn siyo kama mnavoandika na kuielezea, waambieni watu ukweli siyo mnaeleza faida tu. Ufugaji una changamoto sana tofauti na unavoelezwa. Wewe unalenga kuuza vitabu vyako na si ufugaji. Ikiwa unavision yako leave your vision. Ukija hapa jukwaani tutakuchalenge tu. Unaongea miaka kumi kumaliza chuo mwezio nina miaka zaidi ya 17 ya ufugaji wa kuku, kuanzia broiler, layers, Malawi, sasso, kuroiler nk.
Nawapinga sana wale ambao Mnalenga kupata hela huku mkiacha watz wakiumia na hasara
Nimepitia sana ukosoaji wako sioni hoja ya msingi.Huwa nakubali sana objective criticism.....Sasa kuniambia umeshawahi kukutana na mkurugenzi wa sijui nini nayo sio hoja kwangu,unefuga sijui broiler,Sasso n.k nayo bado sio hoja........Ni kweli kwamba kitabu chetu kina sura nyingi na moja ya sura husika ni changamoto za ufugaji na namna ya kukabiliana nazo. Yaaani mfugaji wewe hujasoma hata ukurasa mmoja wa kitabu lakini umeshakosoa kama vile umekikagua? Humo ndani imo hydroponics fodder uliyoitaja,namna ya kuiandaa,faida zake kwa mifugo,na tahadhari zake pia.

Inawezekana ukafuga miaka 20,na bado ukala hasara,ukafuga hata miaka miwili na bado ukala hasara.Hilo ni jambo la kawaida sana.Ndio maana mimi/sisi tunajiamini kuandika mambo y msingi na tukatoa kitabu pamoja na kuweka option ya kusainiana makubaliano na mteja atakayetaka tusimamie mradi wake kwa makubaliano aone kwa vitendo.Hili naamini hata wewe huwezi sababu pengine umekuwa ukifuga kwa kubahatisha.Ndio maana nasema,Mwalimu anaweza kuwa amefundisha miaka 30 anatumia vitabu vya wenzake,lakini Mwingine akaajiriwa ndani ya miaka mitano akaandika kitabu kizuri tu,lakini kwa hulka ya Watanzania,huyu aliyefundisha miaka 30 atakataa kutumia kitabu hicho sababu huyu kijana wa juzi kajulia wapi haya mambo mimi nisiyajue? Hii ndii Tanzania yangu
 
Komaa mkuu.
 
Sisi wenyewe tulianza kufuga Kuku tukiwa Kama kikundi tulianza na Kuku 20 wakazaliana tukaomba mkopo halmashauri tukapewa tukakuza mradi na mradi ulipokua tukarudisha mkopo tukaomba Tena Ela tukapewa mil 10 kwa Sasa tumenunua machine za kutengeneza mkaa wa kisasa kwa hiyo tumepiga hatua kupitia hizo Kuku tulizokuwa tunafuga.
 
Kwa iyo unaiuza iyo pdf na hauuzi kuku?

Nadhani ungeambatanisha na picha au video zako ukiwa bandani na kuku kama elfu 3 ivi pia ingetushawishi.
 
Hey,ufugaji kuku hauna uhusiano wowote na stori za vijiweni.Ni biashara serious kabisa tena yenye kuhitaji umakini wa kiwango cha lami.Huwa nipo busy sana kuwahudumia na kuwajali wateja ambao wako serious na wenye nia ya kuanzisha ufugaji.Nyie wa michongo hayo ndio majibu yanayowastahili.Hizo habari za kuna jamaa yangu.......sijui kauze 12 ule hapo 2 kwangu ni udalali na mimi sio dalali kamwe.Pole
Mkuu hujitambui na nasikitika sana hujui kwamba hujitambui..., Mwenyewe umesema kuna jirani yako ana mayai kama yako anauza elfu kumi tray anakosa wateja na wewe unauza elfu 12 mpaka yanakwisha yanakosa wateja.... Sasa wewe unafanya nini na ili iweje ?

Unatoa Msaada ? kama ndio basi msaidie jamaa yeye si anauza elfu 10 na wewe wateja wako wanakosa mzigo hata kwa elfu 12..., sasa hapo unafanya udalali au unatoa service na kwa faida bila kumyonya mtu (muuzaji anapata anachotaka na mnunuzi anapata mali) Sasa kama hujui hilo, na unaongelea masoko na market pia ni muhimu sijui hio pdf yako inafundisha nini (Jinsi ya kutokuwa dalali)?

In short ngoja niachane na wewe hapa ni kupotezeana muda wangu na wako ila kumbuka Hekima na Busara ni kujua kwamba hujui na hakuna mtu anayejua kila kitu ukishaelewa hivyo utakuwa tayari kujifunza na elimu haina mwisho kila siku mtu unajifunza..., Na ulichoonesha hapa interpersonal skills zako ni sifuri (kitu kinachohitajika katika salesmanship) na huenda hio kampuni / mradi wako ungefika mbali zaidi kama wewe na attitude yako ya ajabu ungekuwa haupo.... You are your own worse enemy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom