MMASSY
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 290
- 193
- Thread starter
- #21
Aiseee.........Asiyejua maana...........Uzuri siku hizi ukiandika neno Hen kwenye keyboard anatokea kuku(mtetea).Hivyo mpo na wafugaji wa kwenye keyboards ambao mnajua kuliko wafugaji wa kule ChaugingiIf you see a gold rush, sell shuvels
Huyu jamaa anasema kuna mgodi umetema ili atuuzie makoreo yake wakati yeye hajawahi hata kuzama shimoni