Vijana tufanye nini

Inastaajabisha sana ' ...yaani mwanamke anasimulia jinsi alivyo gegedwa ??...

Hapana... biashara ya vibamia imeanza miaka ya 2000+. Huko nyuma hatukuwahi kumsikia binti akisimulia alivyogegedwa na kibamia
 
Comment bora kabisa hii katika huu uzi
Uniongeze mimi,

Kabla ya kuniongeza acha nichangie kwanza;

Tuanzie chini,

toka mtoto akiwa shule ta msingi wazaz na walez wajitahidi kumjengea mazingira ya kujitegemea

Mfano: kwa umri huo mtoto aanzishiwe bustani ya mboga mboga ambayo ataitunza na mauzo yake ya mazao kidogo yatakayopatikana tatasaidia kununua kitafunio chake cha asubuhi kwa wiki nzima na mtoto mwenyewe atambue kitafunio chake kinatokana na nini.....

*Waanzishiwe mabanda ya kuku na kukabidhiwa wayaendeshe na kufuga kibiashara

*Wafundishwe ufundi simu, computers, magari, madawa n.k na waambiwe utaalam huo utasaidia vipi juendesga maisga yao

*Badala ya kuwajaza mavyuoni kuwa brainwash na kuwarudisha mtaani wazunguke na bahasha za kaki kusaka white colar jobs ambazo pia hazipo

Ni bora kufanya mifumo hii kuliko ku base kwenye hiyo mnayoiita elimu ambayo inaishia kuzalisga wadangaji
 
Comment bora kabisa hii katika huu uzi
Mkuu kunamawazo mazuri zaidi Na zaidi humu nadhani tunashindwa kuwatumia vizuri wakongwe wenye kada zao humu ila kidogo sana hapa watu wametoa mawili matatu nadhani Niko kuyafanyia kazi vizuri
Watu wanamengi zaidi sema tunawaletea nyuzi za mijegejo tu
 
Safi sana. . Mkuu umechangia vyema kabisa
sio kweli, kila kitu kina nidhamu yake. Biashara ya mchicha inahitaji mtu mwenye uvumilivu na pesa, akipata elfu 10 ale elfu mbili elfu nane aweke. Wasomi wengi hawana discipline ya biashara na wanafanya na zinafeli. Kama ambavyo wauza mchicha hawana displine ya kusoma na wasomi nao discipline ya biashara hawana. Tatizo sio kutotaka kufanya biashara ndogo ndogo bali ni namna jamii inavyowaandaa watu wake. Wakati mimi natoka chuo kulikua hakuna ajira za watu wa kozi yangu, nikapata kazi ambayo kwa mwezi ninalipwa laki moja. Chuoni nilikua nalipwa zaidi ya laki 2 na 20 pm sasa nawezaje kuishi kwa laki 1? Jamii imeniandaa vibaya. Unapokua shuleni wewe kazi yako ni kusoma tu mambo mengine yote yapo kama kawaida, maana yake ili uweze kuishi baada ya kusoma inatakiwa ufanye kazi na mambo mengine yaendelee kua kawaida. Sasa mfumo huu wa kijamii hautoi nafasi kwa mhitimu akipata changamoto inakuaje. Ndomana nchi nyingine mtoto akifika darasa la 6 anaambiwa atafute ajira ya muda ( mf: kuuza duka, kufanya usafi n.k) ili hata simu yake ya kwanza ajinunulie mwenyewe. Hii inamsaidia akihitimu ajue kwamba nje na maisha ya kawaida anaweza kufanya ziada. Sisi ili ufanye ziada inabidi uwe na uwezo binafsi. Jamii zetu zinafundisha kwamba maisha ni mfululizo usiobadilika. Ndio maana vijana tunapata shida hata biashara ndogo zinatushinda kuendesha.
 
Hahaha hahahahaa
Nionavyo mimi cha kufanya kijana ni ku-grab the next opportunity. Duniani hatupo kwa ajili ya kuishi milele. Haijalishi ni immoral kiasi gani, kama ni wizi we iba tu ili mradi uwe umeiba cha maana. Sio lazima uishi kwa kujiminya kusubiri perfect moment, unaweza kufa ghafla na maisha yako yakawa hayana maana. Kama kuna libaba au limama linaweza kukuhudumia we jiweke tu ili mradi uenjoy maisha. Tunaishi Tanzania nchi ambayo haipo kwenye nchi 100 bora za kimaendeleo duniani kama unasubiri perfect moment endelea kusubiri. Kamata fursa unayoiona mbele yako, kuna uwezekano hata miaka 70 hutafika.
 
Kwa mfano wangu mwenyewe nikiwa kijijini bado std 1 nimejifunza kushona viatu,nguo kutengeneza pasi mbovu za umeme,kulima bustani zimenisadia hadi sasa sichagui kazi hata moja ilimradi napata hela
 
Naam kick out poverty ----

Nilikuwa na pitia kwanza comment ili ni pate kujifunza vitu vipya toka kwenye maoni ya wachangiaji mbali mbali --- kwa namna moja ama nyingine naweza kusema kuwa nimeridhika na michango yao ''' ijapokuwa binafsi Nina tamani kuna huu uzi ukiwa na comments nyingi (wachangiaji wengi )
Ambao kwa kupitia michango yao - itakuwa ni fursa kubwa kwa watu wengi kuweza kujifunza kwa kina

MCHANGO WANGU WA MAWAZO NI HUU ----
Maendeleo yetu kama vijana Yana paswa kuanzia katika msingi wa chini kabisa ' kitu ambacho katika family zetu nyingi hakipo '' vijana wengi wa kitanzania tume lelewa katika jamii ambayo Ina wa tafasiri matajiri kuwa ni watu ambao hawato Uona Ufalme wa Mungu. .tuna amini zaidi katika umaskini kuliko utajiri -- kitu ambacho kime changia kuwa fanya vijana wengi kutokuwa na motisha ya kuwa na mafanikio ya kiuchumi katika maisha yao --- kiasi kwamba inapotokea mtu akafanikiwa basi jamii huwa inamuona kuwa ana bahati au ni mtoa kafara .Yaani tuna jamii ya watu ambao hawaamini kabisa kwamba kwa kupitia Uwezo wao mkubwa wa kufikiri "Juhudi. Ubunifu .Uaminifu na nidhamu Mtu anaweza kufanikiwa hata kama itakuwa amezaliwa katika umaskini wa namna gani ''........

Mbaya zaidi Tuna jamii ambayo ina watu wengi sana Ambao sio waaminifu --'Tukia achana na nguzo zote zinazo mfanya mtu aweze kufanikiwa Ambazo ni knowledge. Uthubu. Juhudi. Nidhamu. Kupenda kufanikiwa etc ..hayo yote haya wezi kuleta mafanikio endapo nguzo hizo zitakuwa zinakosa Muhimili mkuu ambao ni uaminifu ''' (Uaminifu ndio nguzo ambayo ina watafuna hata viongozi wetu na kwa sababu ya kukosekana kwake hatimae hujikuta wana sign mikataba mibovu ambayo huwa inaitafuna nchi na kuwafaidisha wahi sani '' ) --huwa Wana weka kando viapo vya uaminifu walivyo kula ambavyo vina wataka kulilinda hili taifa -- pia jamii yetu inazungukwa na watu wengi wavivu --kuanzia uvivu wa kufikiri mpaka uvivu wa Hali ya uwajibikaji --- hizi Tabia ndio moja ya sababu zinazo changia hata kuwa rudisha nyuma watu wenye mikakati imara ya kutaka kufanikiwa kwa sababu huwa Wana jikuta wame zungukwa na watu wengi wenye mitazamo Hasi -- kiasi kwamba inawauwia vigumu wao kuweza kushirikiana nao kwa sababu Endapo wanapo amua kujitoa na kushirikiana nao huwa wanaishia kuanguka - kwakuwa huwa Wana Shirikiana na watu wenye mitazamo duni tofauti na ile mitazamo chanya waliyo nayo '''

Nadhani Kuna haja kubwa sana kwa serikali na wadau wake kuhakikisha kwamba wanatoa elimu ya utambuzi ya kutosha kwa vijana wa hili taifa bila ya kusahau kutoa elimu kuji tegemea yakutosha pia kwa vijana '' hii itasaidia kuipatia mwanga wa maarifa jamii yetu na hatimae tutakuwa na kizazi kinacho penda kuwajibika haswaa katika masuala ya kujikuza kiuchumi na hatimae tutakuwa na taifa la watu wengi wapenda maendeleo
Huyu jamaa nauhakika nikati ya watu wanaojiamini sana Na husimamia wanachokiamini Na alichokisema nikati ya vitu ambavyo ubongo wako nilazima ukubari kuyaacha maisha yakimasikini Kwa gharama yeyote
 
Mkuu ubarikiwe Sana kumbe ulikua unavuta kasi nashukuru mkuu hasa kwenye suala la uaminifu Na faida zake ulichokisema nikweli kinalipa Na niwazo mujarabu kabisa naomba nilifanyie kazi Kwa ufasaha wa hali ya juu thanks sana bro
 
Nionavyo mimi cha kufanya kijana ni ku-grab the next opportunity. Duniani hatupo kwa ajili ya kuishi milele. Haijalishi ni immoral kiasi gani, kama ni wizi we iba tu ili mradi uwe umeiba cha maana. Sio lazima uishi kwa kujiminya kusubiri perfect moment, unaweza kufa ghafla na maisha yako yakawa hayana maana. Kama kuna libaba au limama linaweza kukuhudumia we jiweke tu ili mradi uenjoy maisha. Tunaishi Tanzania nchi ambayo haipo kwenye nchi 100 bora za kimaendeleo duniani kama unasubiri perfect moment endelea kusubiri. Kamata fursa unayoiona mbele yako, kuna uwezekano hata miaka 70 hutafika.
...Mkuu, inafikirisha lakini umenena kuntu Ukweli halisi...
 
Tuko pamoja
Ansanteh nadhani kutakua Na ujio wawatu wengi ngoja niendelee kuwakaribisha Kwa moyo wafadhira ili nipate mengi zaidi maana muda mwingine ni vizuri kujifunza kutoka Kwa watu mbalimbali Na hii huongeza thamani ya mawazo yako
 
Wazo la jamaa ni sawa na kusema get rich or die trying. Ni hoja yenye mashiko kiasi lakini ina ubinafsi ndani yake ----

Unapo Shauri Watu waibe ili waweze kupata mafanikio ' huo ushauri utawanu-faisha watu wachache wenye roho ya ubinafsi '' tukumbuke kwamba hii Topic inalengo kuwa muarobaini wa tatizo la Ukuaji wa Uchumi kwa Vijana wa tanzania nzima na katika vijana wote hao ndani yake Kuna wengine ni watu waaminifu ambao hawa wezi kuiba hata charge yaani simu kutokana na mazingira waliyo lelewa ''' so vipi hawa hatuoni kuwa watashindwa kutimiza Ndoto zao kwa sababu Wizi hawauwezi? ,
daah huyu jamaa ila nimelipenda wazo lake lakini linapingana Na wazo la uaminifu mkuu
 
Jamii yetu imezungukwa na watu wengi Ambao hawana elimu ya utambuzi .. elimu ya utambuzi ni category yenye uwanja mpana sana --- waweza kukuta kijana ana fanya kazi ngumu na anapata pesa nyingi kwa siku let say 50k --lakini ana kwenda kutumia pesa zote hizo kwa muda wa siku 1'''

Halafu baada ya muda fulani kibarua kuisha ana kaa na kuanza kulala Mika kuwa maisha ni magumu --......

Unaweza kuona kwa kiasi kikubwa jinsi ambavyo kijana wa namna asivyo jitambua
 
Back
Top Bottom