NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,300
- 2,970
- Thread starter
- #121
Ni kweli mkuu kunakipindi wakati wakusaka michongo nilikua nafanya kazi yasaidia Fundi nikiwa kama mbeba zege nakoroga nakubeba tofari lakini kesho Fundi uliekua unamsaidia Na ndie bosi wako lakini anaamka hana hata mia Na kukuomba pesa ya chai mihogo umkopeshe hapa ndipo nilipoona nikweli ni heli yule anaetunza kidogo kuliko anaepata kikubwa nakukitafuna choteJamii yetu imezungukwa na watu wengi Ambao hawana elimu ya utambuzi .. elimu ya utambuzi ni category yenye uwanja mpana sana --- waweza kukuta kijana ana fanya kazi ngumu na anapata pesa nyingi kwa siku let say 50k --lakini ana kwenda kutumia pesa zote hizo kwa muda wa siku 1'''
Halafu baada ya muda fulani kibarua kuisha ana kaa na kuanza kulala Mika kuwa maisha ni magumu --......
Unaweza kuona kwa kiasi kikubwa jinsi ambavyo kijana wa namna asivyo jitambua