Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!

Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Kwa kuwa umeongelea kuhusu kupata signals hapo ndio utaliwa hadi ukauke find knowledge and use it, utafurahi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom