Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI upo na bado ni hatari

Ingawa UKIMWI unaogopeka,amini kwamba kuna magonjwa ambayo ukiyapata leo kutoboa miaka 4 ni kazi sana sana.

Kwamfano upate homa au cancer ya ini, lazima utawahi ahela madukani na utamwacha mwenye ngoma anadunda.
Kweli Mac.
 
Unafanya utani na VVU wewe, yani ukae miaka hata miwili bila kushituka?😅

Ile Hali tu ya kinga ya mwili kupambana na Kkirusi aina yoyote ni lazima kutakuwa na negative changes kwenye mwili (magonjwamagonjwa), Ikitokea Kinga ya mwili imefanikiwa ndo hapo mtu anakaa sawa, ila kwakua kinga ya mwili haiwezi kuvishida VVU, hapo ndipo mtu hupatwa na viugonjwa nyemelezi mfululizo.

Kwahiyo hata kama una kinga imara zinazoweza kupambana na VVU, bado hauwezi kutoboa mwaka mzima bila ugonjwa wowote ule.
Si kweli Mac. Fahamu kuhusu mwili wa binadamu. Reaction haifanani kwa kila mtu.
 
Unafanya utani na VVU wewe, yani ukae miaka hata miwili bila kushituka?

Ile Hali tu ya kinga ya mwili kupambana na Kkirusi aina yoyote ni lazima kutakuwa na negative changes kwenye mwili (magonjwamagonjwa), Ikitokea Kinga ya mwili imefanikiwa ndo hapo mtu anakaa sawa, ila kwakua kinga ya mwili haiwezi kuvishida VVU, hapo ndipo mtu hupatwa na viugonjwa nyemelezi mfululizo.

Kwahiyo hata kama una kinga imara zinazoweza kupambana na VVU, bado hauwezi kutoboa mwaka mzima bila ugonjwa wowote ule.
Huenda uko sawa ila kuna miamba inadunda tu mwaka unaisha. Sema waTz hatuna kawaida ya kupima afya, mtu anaweza akawa anadunda na ugonjwa hajijui.
 
Mbona nasikia uvumi kuwa ukimuandaa vizuri nakarowana kweli kweli usipo tumia nguvu nyingi yaani usipompelekea moto huwezi kuupata hata kama anao. Nahitaji ufafanuzi
 
Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari.

Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo vya kiafya kujua hali yake, baada ya ngono tukafanya vipimo na ikagundulika mwenzangu alikua na maambukizi.

Huyo mwanamke nilikua nimefanya nae ngono mara mbili ila kwa time interval ya mwezi mmoja, hii mara ya pili ndio tukafanya vipimo na ikagundulika mwenzangu hakuwa mzima na wakamuanzishia dozi na mimi nikaanza kumeza PEP. Nashukuru baada ya miezi 4 niko salama.

Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, Ukimwi ni hatari na unaweza kuzima ndoto zako kwa starehe ya siku ama sekunde chache. Tuendelee kuchukua tahadhari hadi pale chanjo ya Ukimwi itakapopatikana. Nilisikia wakubwa wa Dunia wameazimia kufikia 2030 wawe wametokomeza Ukimwi, ndio unasikia ujio wa chanjo na labda wataleta dawa sio muda mrefu ila for the mean time tuendelee kujilinda.

View attachment 1930729
Huwa nasema wakati mwingine ni bahati tu huu ugonjwa unajikuta umeukwepa au muda wako bado haujafika. Wengi wamefanya mistakes lakini bado wakatoka wapo negative.
Kuna jamaa alisababisha mimba kabisa na aliye +ve lakini bado akatoka negative.
Cha msingi ambacho napenda kishauri ni kwamba ,,tuchukue tahadhari kadri iwezekananvyo na huku tukimwomba Mungu atusaidie"

Mtu akiambukizwa ajue anawajibika kubadili mfumo wake wa maisha kama vile tu mwenye kisukari, pressure na magonjwa mengine yanayohitaji kubadili mfumo wa maisha.
Kunywa dawa kila siku isikufanye usononeka kwani ni vitu vingi tu binadamu hupeleka kinywani kila siku bila kuchoka kama chakula, maji nk. Kuna mtu kila siku anakunywa konyagi pamoja na uchungu wote ule.

All in all maisha yaendelee bila kujali umepata virusi au la.
IMG-20210905-WA0074.jpg
 
Nadhani hakuna hatari yoyote na huenda UKIMWI ulikuwepo kwa miaka mingi kabla ya kugundulika ila fursa ya biashara ilipoonekana ndipo ukafanyiwa marketing duniani na africa ili uwe ugonjwa tishio. Hata vipimo vyake havioni virusi bali vinapima kama mwili unatoa antibodies ndo unaambiwa una virusi.
Kweli kabisa
 
Si kweli Mac. Fahamu kuhusu mwili wa binadamu. Reaction haifanani kwa kila mtu.
Metabolisms zinaweza kuwa tofauti kwa kila binadamu, lakini haiwezi kutokea mtu akakaa miaka mitano bila kushituka uwepo wa kurudi kwenye mwili wake, tena kama sisi wa mjini na haya mavyakula yetu plus pombe haiwezekani kabisa.

Haiwezekani.
 
Huenda uko sawa ila kuna miamba inadunda tu mwaka unaisha. Sema waTz hatuna kawaida ya kupima afya, mtu anaweza akawa anadunda na ugonjwa hajijui.
Sio kwa hii life style ya Sasa, yani mimi na huu ulevi wangu nipate ngoma alafu nitoboe mwaka mzima? Sidhani.

Unachokisema ni kweli, lakini hiyo itawezekana kwa mtu mwenye afya kweli na ni wachache sana.
 
Metabolisms zinaweza kuwa tofauti kwa kila binadamu, lakini haiwezi kutokea mtu akakaa miaka mitano bila kushituka uwepo wa kurudi kwenye mwili wake, tena kama sisi wa mjini na haya mavyakula yetu plus pombe haiwezekani kabisa.

Haiwezekani.
Okey
 
Back
Top Bottom