Vijana tuchukue tahadhari dhidi ya uchumba sugu na madhara yake

Haya mambo ya mapenzi bhn hayana formula ni kumwachia mungu unaweza achana na huy alikuwekaa miaka miwili ukaenda kwa mwingn nae yale yale haya ya mapenzi yakuacha yajiendeshe tu
Mleta hoja anataka afosi ndoa anataka eti mkikaa miaka miwili kama hakuna ndoa muachane, kwanza mapenzi ni watu wawili kupendana maisha iwe ndoa isiwepo penzi liko palepale. Huyu siyo wa kuolewa anafata ndoa zaidi ya mapenzi. Ataishia kuruka ruka kila baada ya miaka miwili. Wako watu wamekaa miaka 20 wamekuja kuoana baadae.
 
Jamani, hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka 2 mkiwa wachumba, kibongobongo uchumba sugu umeshaliza watu wengi.

Acha kujifariji unapedwa mara ohoo mahusiano yetu yamepitia Up and down my friend acha kujipa moyo ukishakaa katika mahusiano kuanzia miaka miwili anza kujitafakari ni wapi unapokwama ukizembea zembea ikoo siku mwana atakuwa sio wa kwako kwani mwisho wa uchumba sugu huvunjika pale mtu mmoja anapoona anapotezewa muda na mwingine anabadilisha gia angani kwa kuwa kampata bora zaidi yako.

Ushauli wangu ukiona upo katika uchumba au mahusiano kuanzia miaka miwili na mwenzio ramani unaona bado hazisomi anza kujitafakari.
Kwaiyo kama malengo yangu ya kuoa ni baada ya myaka 5 ijayo ,ivyo unashauri kwasasa nikae tu bila kunyandua?? au una maana ya kwamba niwe nabadilisha badilisha kila baada ya mda mfupi ili nisikae kwenye mahusiano mda mrefu?

Au kichwa changu ndo kigumu kuelewa?

Sema mleta mada utakuwa ni mfuasi wa rikiboy
 
Uko sahihi ila umeongea ingeneral sana, wapo wanaokaa zaid ya hyo Miaka 2 kwasababu Malengo yao waliyopanga May be yanaeza kuchukua miaka zaid ya 2 na hawatak malengo hayo yaingiliane na ishu za Ndoa
 
Back
Top Bottom