Vijana tuchukue tahadhari dhidi ya uchumba sugu na madhara yake

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Jamani, hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka 2 mkiwa wachumba, kibongobongo uchumba sugu umeshaliza watu wengi.

Acha kujifariji unapedwa mara ohoo mahusiano yetu yamepitia Up and down my friend acha kujipa moyo ukishakaa katika mahusiano kuanzia miaka miwili anza kujitafakari ni wapi unapokwama ukizembea zembea ikoo siku mwana atakuwa sio wa kwako kwani mwisho wa uchumba sugu huvunjika pale mtu mmoja anapoona anapotezewa muda na mwingine anabadilisha gia angani kwa kuwa kampata bora zaidi yako.

Ushauli wangu ukiona upo katika uchumba au mahusiano kuanzia miaka miwili na mwenzio ramani unaona bado hazisomi anza kujitafakari.
 
Kama yamekudodea usiwapotoshe wenzio
Hakuna kilichonidodea ila kipindi unatakiwa utumie akili sana hebu fikiria umeingia kwenye mahusiano ukiwa na miaka 27 ukadumu ktk mahusiano zaidi ya miaka tano alafu mpenzi wako anakuja kukuacha una miaka 32 au 33

Sasa hebu piga hesabu muda aliokupotezea ukamsubilia alafu akakuacha
 
Kwambaaa tuachane na wapenz wa Sasa tuwe tuna re new baada ya mda fulani au
Kumuacha mpenzi wako sio solutions ila solutions kama kweli mnapendana anzeni kutengeneza mazingira ya kuanza kuishi kama mume na mke baada ya uchumba wenu kutumiza miaka miwili hapo kuna vitu vidogo vidogo kama vile uhusiano wenu uanze kutambulika rasmii,mambo ya posa au utambulisho kwa wazee

Lakini kama mmoja wenu anaona muda bado na mshatimiza miaka miwili huko mbeleni mambo yatakuwa sio Poa
 
Miaka yote mnaangaliana tu
Alafu vijana wengi wanasahau hii kanuni wazazi wengi haswa upande wa binti huwa wanapenda kumuona binti yao akiolewa bila kujali aina gani ya mwanaume sasa kuna time wanaanza kumu attack Mtoto wao wa kike kuuliza huyo mwanaume utamleta lini, huyo mwanaume vipi hadi Leo,mlete basi hata ajitambulishe alete hata barua tuu,

Mwisho wa siku familia inamuona mwanaume ni tapeli wa mapenzi na mwishoe familia inamuuaa kuvunja mahusiano kwa sababu inaona kuna watu wanataka kumchumbia binti yao ww alafu mwanaume unaonekana unamuwekea kigingi asiolewe unapambana kumshikilia binti wa watu aendele kuwa na ww ukiwa na dreams za kumuoa hata kwao hawakutambui kila siku unaona bado muda wa kuchunguzana
 
Hakuna kilichonidodea ila kipindi unatakiwa utumie akili sana hebu fikiria umeingia kwenye mahusiano ukiwa na miaka 27 ukadumu ktk mahusiano zaidi ya miaka tano alafu mpenzi wako anakuja kukuacha una miaka 32 au 33

Sasa hebu piga hesabu muda aliokupotezea ukamsubilia alafu akakuacha
Wewe ni wale mademu wanaofosi ndoa, unaleta sheria zako ili uolewe?
 
Mkuu ipo hivi kama sababu uchumi sio tatizo usihukum kama wanapendana no problem
 
Haya mambo ya mapenzi bhn hayana formula ni kumwachia mungu unaweza achana na huy alikuwekaa miaka miwili ukaenda kwa mwingn nae yale yale haya ya mapenzi yakuacha yajiendeshe tu
 
Back
Top Bottom