maisha ya kuiga ndo yalivyoAkilazwa tu hospital mwezi moja tu hapo utasikia anaomba michango ya watanzania wenye moyo wa kutoa...Daah usanii bwanaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huyo unayemjibu unajua ni nani? Au unafikiri humu kila MTU ni Lofa kama weweMasikini bhana sasa wewe na diamond nani mshamba?? Mwenzako katafta pesa zake kwa tabu kaamua kuvimba zake kuna tatizo gani?
Mayweather anakwambia get inspired or hate naona wewe umechagua kuhate
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe huyo unayemjibu unajua ni nani? Au unafikiri humu kila MTU ni Lofa kama wewe
Ndio nimeprove kua wewe ni mpumbavuUna uhakika gani kama simfahamu??
Umeprove kuwa wewe ni mpumbavu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio nimeprove kua wewe ni mpumbavu
Maana Huyo uliyemjibu Mimi ninamfahamu,
Pumbavu
Nilimwelewa sana Mayweather kwa ile kauli yake kwa sababu it's TRUE, Get Inspired or Hate!! To be honest, kabla ya ile kauli yake, nilikuwa nam-mind sana jamaa, sijui kwavile nipo Team Fif!!! Kumbe bhana, ule na mimi ulikuwa na wivu wa kif'ala tu, nothing more nothing less kwa sababu hata huyo Fif, nae ni mtu wa ma-showoff!Mayweather anakwambia get inspired or hate naona wewe umechagua kuhate