mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Ewe kijana stukaaaaa hawa wanasiasa wanakupotezea muda tu fursa ni nyingi kitaani usimsubiri ancle Magu au Mbowe akuletee maendeleo itakula kwako
By Mwanakijiji Lugusi
Nchi hii ina vijana wengi wanaoish kimjinimjini kwa kuwategemea wanasiasa ndo wawatatulie shida zao.Sometime hawa wanasiasa wanawatumia sana vijana kwenye harakati zao za kisiasa kwa ujira wa buku tano per day tena wakiitwa kwa majina mengi mengi mara makamanda,majemedari,wafia chama yaan kila aina ya majina ya kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa na hawa viongoz wa kisiasa huwaita haya majina si kwa nia nzuri bali huwasifia ili wawatumie tu kwa kipindi fulani na baada ya wao kushinda na kuupata urais au ubunge na udiwan vijana wengi husahaulika kabisa tena hawa wanasiasa huja na maneno ya kukatisha tamaa na kuwasahau kabisa vijana.Kwa mfano waliawaahidi vijana kuwapa ajira yako wapi sasa kijana stukaaaaaaaaaaaaaaaa
Watu wanapiga pesa ki kweli kweli ni full ujasiriamali na tukiendelea na style hii ya kumlalamikia Mh Magufuli kuwa anabana wakati we we kutwa kushinda fb na na kuwa admn kwenye magroup ya wasap si chini ya 20 hahahaaaa aisee ni kupoteza time yko bure na umri ndo unasogea huna hata kitanda na mwisho wa mh magufuli anastaafu miaka yake 10 hujafanya lolote bado unaishi kwa wajomba stukaaaaaaaaaaaa kijana time ndo hizi za kutafuta life.