Vijana someeni kazi acheni mambo mengi

2015 nilimaliza form 4 pale Kawe Ukwaman sec Skuli nikaperform vizuri mshua akasema niende Advance maana result zilikuwa bomba Nikasema nipe hiyo Ela niende Veta Iringa mshua akatia ngumu mimi msimamo ukabaki pale nataka kwenda akaniuliza kusoma
nikamjibu umeme wa viwandani fresh mzee akanipa mtonyo nikafly mpaka Home kwenyewe kwa Mkwawa nikakuta hii kozi haipo nikachagua mechanics (ufund magar) ingawa hii kozi kuisoma nayo pasua kichwa walah fresh nikakomaa na spana zangu ila nisikufiche tu veta hakuna practicat kuna theoritical praticsl ipo kitaa gereji na workshop za makampuni kama pale azam na mo na wengineo.

ikumbukwe veta nimeingia 2017-2018 so baada ya kumaliza niliingia kutafuta sehemu niongoze ujuzi nikakomaa mpaka leo hii inshallah nimepata sehemu pakupata ugari.

Kipindi hicho vijana wa chuo wakiona tumetinga uniform zetu za veta wanatuchukulia poa mainjinia

VIJANA SOMEENI KAZI ACHENI MAMBO MENGI

Mechanics for life
Acha kutisha si nyie ndiyo mnawapiga watu vifaa vyao muhimu
 
Hiv course ya heavy duty Equipment machanics n koz nzur au n kupoteza muda msada kwa alie na idea
 
hongera sana ata mimi ninao mfano kama wako...mdogo wangu aliacha shule kidato cha tatu...akajiunga na gereji...miaka 12 iliyopita mimi nilikomaa kusoma hivi sasa dogo ni fundi na ni dereva mkubwa tu wa mabasi...na ndio tegemeo langu kubwa...nina elimu sina kazi...hadi na mimi nimeamua kurudi veta na kuangalia kozi itakayo nifaa...

maisha kweli hayana usawa kabisa
Una elimu gani?
 
Kuna la kujifunza apo japo sio lazima wote tupite the same way ntashare story yangu, Nilizingua form four nkaenda Veta wenzangu walienda advance na baadae vyuo vikuu wakasomea Ualimu na wengine Course za sanaa vyuo mbalimbali leo wanasota mtaani zaidi ya miaka nane sasa wapo wapo tu na tittle zao za graduates
Kwakuwa wewe umeshatoboa life kwahiyo unawaona wenzio kama mafala flani tu au siyo, haya bwana
 
braza amini nakwambia usimfanishe fundi/dereva na graduate yeyote yule Wapo tofauti mno
Graduate ni Nani Ana Nini?
Afadhali hata yule anaeuza mitumba pale ilala anajua connection kuliko huyo graduate.
Wapi mitaani huku na vyeti vyao,wanapewa bodaboda kwa ajira za mikataba.
 
Graduate ni Nani Ana Nini?
Afadhali hata yule anaeuza mitumba pale ilala anajua connection kuliko huyo graduate.
Wapi mitaani huku na vyeti vyao,wanapewa bodaboda kwa ajira za mikataba.
Wabongo tunachuki sana mtu asipokua na kitu badala ya yeye kufany jitihada awe nacho ana mchukia ambaye anacho

Ndo maan unakut mtu anafurahia wazir kutolewa ata kama ajafany jamb Baya basi tu ili mladi ote tulingane

Tubadilike maisha ayaend ivyo ata kama mtu ana degree na maish ayajamuendea fresh sio vizur kumkashifu maish ni kitendawil kila mtu ananjia yake yakutegua anayoona yeye ni sahihi muhimu ni kutokukat tamaa kama elimu ikikushind jarib njia nyingn lakin usimkashif mweny elimu
 
Alafu watu ambao shule iliwashinda na kushindwa kufika mbali kielimu huwa wanachuki sana na graduate cjui kwanini
 
Usidharau degree za watu kiasi hicho bro maana kuna wengine wamefanikiwa pia kupitia degree hizo hizo na kuna walioenda ufundi Kama wewe lakini kuna mahali wamefika wamekwama kwa kigezo hicho hicho cha kukosa degree, wewe Kama umefanikiwa kupitia ufundi basi mshukuru Mungu na usibeze wengine
 
Kijana bana kapata kasehemu ka kusave kanunua sabwoofer na tv yake ya boss anajiona maisha kayapatia kuja kudharau degree holder

Kwa akili zako izo ungeenda advance ungepata F tatu (FEED FOR FOOD)

Achadharau kijana waangalie wale waliograduate juzi CPA wale waliofanya vizuri uone zawadi na mashirika yanayoenda kuwaajiri kwa maslahi mapana

Kaaa hapo uchafuke na grease uwe mweusi kama kibwengo
 
Usidharau degree za watu kiasi hicho bro maana kuna wengine wamefanikiwa pia kupitia degree hizo hizo na kuna walioenda ufundi Kama wewe lakini kuna mahali wamefika wamekwama kwa kigezo hicho hicho cha kukosa degree, wewe Kama umefanikiwa kupitia ufundi basi mshukuru Mungu na usibeze wengine
Siku hizi kuna usemi maarufu usemao kila mtu na ashinde mechi zake.
 
Back
Top Bottom