Vijana SHTUKA na Fursa hii kutoka Vodacom

Sudysoko

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
449
180
Vijana wengi wanapomaliza elimu zao uanza kuangaika kutembea na bahasha kutafuta Ajira wakati huo wanamtaji mkubwa wa elimu kwa kuanza kujiajiri.

Ushauri kwa Vijana; Njia sasa ya kufanikiwa katika maisha ni kufanya Uwekezaji na sio kuajiriwa.Kijana amepewaa uwezo mkubwa wa kutengeneza maisha mazuri au mabaya, unachotakiwa kutumia vizuri uwezo ulipatiwa.

Muhimu kutambua unapojiajiri utakusanya nguvu kubwa inayotosheleza kufanya uwekezaji.
Unaweza kuchagua uwekezaji gani ni sahihi kwa ulichokusanya na kama hakitoshi basi usisumbuke [HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG] kwa kununua hisa zao ili kukuza makusanyo yako.

Kwa kutambua hili Hisa za awali kwa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc zimeozwa muda wake wa kuuzwa hadi tarehe 11 Mei 2017.

[HASHTAG]#ChangamkiaFursa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KaziNiKwako[/HASHTAG]
Hisa za Vodacom.jpg
 
View attachment 498554
VODACOM WAMETUSIKILIZA WATEJA WAKE KWA KUSIKIA KILIO CHETU.

Watanzania tunachelewa kuendelea kwa sababu ya kukosa taarifa kamili sasa tuna ugonjwa wa kuamini taarifa ya upande mmoja peke yake.

Kuna watu nia yao haijulikani ni ipi kila kitu wanapotosha kwanini wasiwe wanatoa heko kwa baadhi ya mambo mazuri yanayofanyika.

Hatuwezi tukakaa na kupotosha kila jambo yapo mambo yanahitaji usimamimizi wa kupewa habari kwa kina zaidi hili suala la Vodacom kuongeza muda kwenye IPO (Hisa) si kutokana na watu kutokununua hapana maombi maalum ya kutokana ongezeko la wateja kama kawaida yetu tunapenda sana kufanya mambo ktk deadlines sana.

Wapo waliochukua mfano kutoka kwa wakala mmoja ambaye ni Orbit Securities aliyeidhinishwa katika ukusanyaji wa awali wakisema ameshindwa kufika lengo walipanga kuuza hisa za bilioni 200 lakini mpaka sasa wameuza hisa za bilioni 150 hadi jana Tarehe 19 lakini wapo wateja wengine waliomba kuongezewa muda.

Je kuuza robo tatu ya hisa kwa wakala mmoja aliyeidhinishwa ni kushindwa kufika lengo? Hii si sawa biashara ya hisa ina changamoto nyingi sana.

Kampuni ya Voda waliwaidhinisha mawakala zaidi ya 14 katika uuzaji wa hisa zenye thamani inayakadiriwa kufika bilioni 476 ambazo Vodacom wanatarajia kuzikusanya.

Mawakala wa ukusanyaji wapo 14 projection ya wakala mmoja haitoi Picha kamili ya biashara jinsi ilivyofanyika kwanini kikundi cha wapotoshaji kikae na kusema habari zisiokuwa na chembe ya ukweli asisubirie taarifa za mwisho kutoka kampuni husika wakatoa idadi ya jumla ya idadi ya hisa zilizouzwa?

Shares za Vodacom nimezifuatilia. Kupitia prospectus yao nikaisoma. Presentation ya financial statements zao za mwaka 2016 na projections ya 2017 na 2018 zinavutia sana kulinganisha na kampuni nyingine zinazofana na Vodacom.

Annual revenue yao ni kubwa around bilioni 900 mpaka 1trillion.
kwa short term wakiweza kuziuza hisa baada tu ya IPO kufungwa kuna uwezekano wa price kupanda juu na hii pia inategemeana na hali ya uchumi wa nchi.

Na sera yao ya gawio ipo wazi kabisa baada ya Faida asilimia 50 baada ya kukatwa kodi kwa mwaka na Gawio litakwenda kwa kila mwanahisa wa kampuni.
Mfano unamiliki hisa 100 na kampuni imegawa labda shingi 5 kwa kila hisa ni 100 x 5= 500

IPO bado muda wake kumalizika wateja tumesikilizwa mimi niliomba muda uongezwe kwa niaba ya wananchi wangu pia ndugu yangu Zitto Kabwe aliomba muda uliowekwa ulikuwa ni mchache mwisho ni tarehe 11 Mwezi wa Tano vodacom watatupatia mrejesho baada ya hapo.

Kwa rational investor ukifanya mahesabu utaona kwamba investment kwenye Vodacom ni best choice kwa current financials na projections ya 2017 na 2018. nimefanya share performance ratios nimeliona hilo.

Karibuni.
 
Duhh, hili tangazo lako bhana

Hizo hela za kununua hisa unawapa au kuwakopesha? Watu mnaoagza watu kujiajiri bila kuwapa mtaji au bila kujua wana mtaji binafsi nawaona mazuzu na vibaraka tu,

Je unahs vjana wana mtaji? Wakiwa na mtaji unafkr kun nua hisa ndo fursa pekee? Au unafkr tatzo la vjana ni kutokujiajiri au mitaji? Kama hujui tatzo linaowakumba ufunge kopo lako la mdomo!
 
VODACOM WAMETUSIKILIZA WATEJA WAKE KWA KUSIKIA KILIO CHETU.

Watanzania tunachelewa kuendelea kwa sababu ya kukosa taarifa kamili sasa tuna ugonjwa wa kuamini taarifa ya upande mmoja peke yake.

Kuna watu nia yao haijulikani ni ipi kila kitu wanapotosha kwanini wasiwe wanatoa heko kwa baadhi ya mambo mazuri yanayofanyika.

Hatuwezi tukakaa na kupotosha kila jambo yapo mambo yanahitaji usimamimizi wa kupewa habari kwa kina zaidi hili suala la Vodacom kuongeza muda kwenye IPO (Hisa) si kutokana na watu kutokununua hapana maombi maalum ya kutokana ongezeko la wateja kama kawaida yetu tunapenda sana kufanya mambo ktk deadlines sana.

Wapo waliochukua mfano kutoka kwa wakala mmoja ambaye ni Orbit Securities aliyeidhinishwa katika ukusanyaji wa awali wakisema ameshindwa kufika lengo walipanga kuuza hisa za bilioni 200 lakini mpaka sasa wameuza hisa za bilioni 150 hadi jana Tarehe 19 lakini wapo wateja wengine waliomba kuongezewa muda.

Je kuuza robo tatu ya hisa kwa wakala mmoja aliyeidhinishwa ni kushindwa kufika lengo? Hii si sawa biashara ya hisa ina changamoto nyingi sana.

Kampuni ya Voda waliwaidhinisha mawakala zaidi ya 14 katika uuzaji wa hisa zenye thamani inayakadiriwa kufika bilioni 476 ambazo Vodacom wanatarajia kuzikusanya.

Mawakala wa ukusanyaji wapo 14 projection ya wakala mmoja haitoi Picha kamili ya biashara jinsi ilivyofanyika kwanini kikundi cha wapotoshaji kikae na kusema habari zisiokuwa na chembe ya ukweli asisubirie taarifa za mwisho kutoka kampuni husika wakatoa idadi ya jumla ya idadi ya hisa zilizouzwa?

Shares za Vodacom nimezifuatilia. Kupitia prospectus yao nikaisoma. Presentation ya financial statements zao za mwaka 2016 na projections ya 2017 na 2018 zinavutia sana kulinganisha na kampuni nyingine zinazofana na Vodacom.

Annual revenue yao ni kubwa around bilioni 900 mpaka 1trillion.
kwa short term wakiweza kuziuza hisa baada tu ya IPO kufungwa kuna uwezekano wa price kupanda juu na hii pia inategemeana na hali ya uchumi wa nchi.

Na sera yao ya gawio ipo wazi kabisa baada ya Faida asilimia 50 baada ya kukatwa kodi kwa mwaka na Gawio litakwenda kwa kila mwanahisa wa kampuni.
Mfano unamiliki hisa 100 na kampuni imegawa labda shingi 5 kwa kila hisa ni 100 x 5= 500

IPO bado muda wake kumalizika wateja tumesikilizwa mimi niliomba muda uongezwe kwa niaba ya wananchi wangu pia ndugu yangu Zitto Kabwe aliomba muda uliowekwa ulikuwa ni mchache mwisho ni tarehe 11 Mwezi wa Tano vodacom watatupatia mrejesho baada ya hapo.

Kwa rational investor ukifanya mahesabu utaona kwamba investment kwenye Vodacom ni best choice kwa current financials na projections ya 2017 na 2018. nimefanya share performance ratios nimeliona hilo.
Vodacom wamekufanyia nini wewe cha maana mkuu? Tuweke ushabiki pembeni
 
Maneno meeengi, mtu ndo umetoka chuo hizo hela za kununua hisa nazitoa wapi na hiyo faida ntakuwa napata kila week, mwezi au baada ya mwaka.
Elezeni ni namna gani kijana atafaidika sio blah blah,
 
Ununuaji wa Hisa una changamoto nyingi .

hapo inamaanisha [HASHTAG]#CHANGAMOTO[/HASHTAG] = [HASHTAG]#MATATIZO[/HASHTAG]

wasiliana na mshauri wako wa maswala ya kiuchumi kabla hujanunua [HASHTAG]#HISA[/HASHTAG] .

HAKUNA PESA ZA MTEREMKO HAPO, This is a GAME
 
Vodacom Inaweza Kuwa Kampuni ya Kwanza Kuvunja rekodi kwenye Soko la Mitaji la Dar.Sikumbuki kusikia Kampuni iliyowahi kuextend siku za Kuuza hisa kwene IPO!!
Watz wameanza kuelewa Biashara ya Hisa, hizi siyo enzi za Ujinga zilipouzwa hisa za TOL watu wakakimbia mbio hadi leo wanalia machozi!!
 
Mi nataka mtu aniambie Mwaka jana na Mwaka Juzi Vodacom walipata Faida baada ya Kodi kiasi gani,
Na katika hizo ni kiasi gani kilikua "Retained" na Kiasi gani kilienda kwenye "Dividend"
 
Vijana wengi wanapomaliza elimu zao uanza kuangaika kutembea na bahasha kutafuta Ajira wakati huo wanamtaji mkubwa wa elimu kwa kuanza kujiajiri.

Ushauri kwa Vijana; Njia sasa ya kufanikiwa katika maisha ni kufanya Uwekezaji na sio kuajiriwa.Kijana amepewaa uwezo mkubwa wa kutengeneza maisha mazuri au mabaya, unachotakiwa kutumia vizuri uwezo ulipatiwa.

Muhimu kutambua unapojiajiri utakusanya nguvu kubwa inayotosheleza kufanya uwekezaji.
Unaweza kuchagua uwekezaji gani ni sahihi kwa ulichokusanya na kama hakitoshi basi usisumbuke [HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG] kwa kununua hisa zao ili kukuza makusanyo yako.

Kwa kutambua hili Hisa za awali kwa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc zimeozwa muda wake wa kuuzwa hadi tarehe 11 Mei 2017.

[HASHTAG]#ChangamkiaFursa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KaziNiKwako[/HASHTAG]
View attachment 498554
wewe ni afisa uhusiano wa vodacom au ni marketing manager
 
Kusema ukweli biashara ya hisa siyo kitega uchumi cha kuaminika sana na hasa unapokuwa na hisa chache na tena ziko kwenye kampuni moja tu. Lakini pia, huwezi kupata gawio kama kampuni haikupata faida.
 
Back
Top Bottom