Vijana oeni/oleweni kwa wakati. Punguzeni visingizio

Mnapowakataa single mother mie naumia sana maana nimelelewa na single mother.Tuoeni bana nasi tunahitaji kupendwa tuliteleza tu
 
Maisha ya ndoa matamu sana nyie asikwambie mtu,nilishasema siwezi kuishi bila mke tangu nilipoamua kuoa niliyaaga rasmi maisha ya kuishi peke yangu.
Fanya upside down uje uwamwagie vijana somo kuhusu faida za ndoa. Nadhan watakuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom