Vijana oeni/oleweni kwa wakati. Punguzeni visingizio

nasema hivi baba, kadiri unavyozidi kuchelewa kuoa na kujizungusha hapo mjini, ndivyo mkeo mtarajiwa anavyoendelea kutumika popote alipo kwenye dunia hii. Watu wanamtumia baba. Jitahidi.

Hata mimi mkuu naendelea kutumia wake za watu wengine, so ngoma inogile Draw nothing to loose
 
Mbona mnachepuka daily, mbona kesi za wanandoa kuuana na kutiana ulemavu aziishi, mbona kundi linaloongoza kwa maambukizi ya HIV ni wanandoa,
Jiulize kwanin idadi ya ndoa zilizo stable ni kubwa kuliko idadi ya ndoa zenye matatizo uliyoyaorodhesha hapo ?
 
Maisha ya ndoa matamu sana nyie asikwambie mtu,nilishasema siwezi kuishi bila mke tangu nilipoamua kuoa niliyaaga rasmi maisha ya kuishi peke yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom