Vijana oeni mapema

Sasa ukioa mapema si ndo unashindwa kuonyesha huo uwezo, maana huyo mkeo ukishamzoea unakuwa hauna stimu nae.... Show za nje ndio unakuwa fiti...?!
 
Hahahahahaa sikucheki ila nimekumbuka hekaheka za Baba Belinda....

Tumepishana miaka 5, yeye akiwa na miaka 55 mimi nilikuwa na miaka 50.

Tulichukua likizo ya mwezi mmoja, aiseeh tulipampuana siku nzima.

Siri kubwa kati yetu ni mazoezi na lishe bora, Ila pia bado tuna mahaba kila mmoja wetu bado anamhitaji mwenzie kimwili, kihisia na kilakitu.

Achana na madawa ya kuongeza nguvu ni danganya toto hiyo.

Kasie mpenda Mahaba.
Bibi ulipotea mnooh, nimekumis sanaaaaaah
 
Haaswaaaa.....

Tena na Mahabat wangu, namkumbatia hivi namshika pale tunapigana mweleka puuh...

Tukiamka nguvu imerejea mara dufu aahahahaahhahaa
yaan nikiona comment ako, bas mie huku furaha tupuuh lol
 
Enzi hizo niijidai mi kigori sinikatoroka kwenda bar dah ,
Mzee kijana kaja hujambo nikasema huyu hata kimoja hawezi maliza nikamvunga piga mavitu yake ya gharama nikavutiwa timing.
Siku zijazidi kusonga wee kumbe ananilia timing siku moja niliitwa kwake dah nikasema powa.
Kwenda chacha mwe kazee kana boxa na kanguo kakulalia usiulize nilifanywaje no anal sex or what is ordinary sex
Sijasahau hadi leo.
Wacha weee
 
Nadhani vizuri ungewashauri hao vijana waanze kujitegema mapema na watumir muda wao kwa vitu positive binafsi na kitaita.

Hapo unatrngeneza taifa la wafanya ngono na masikini wanaopiga kura kiushabiki.
 
Back
Top Bottom