Vijana oeni kulingana na mazingira, mila na desturi

Itovanilo

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
2,314
5,135
Hello Jamiiforum, moja kwa moja kwenye mada.

Neno ndoa linachukuliwa kirahisi sana kwa sasa, na hii inachangiwa sana na Mambo yafuatayo. Mwanamme kuishi na mwanamke pasipo kuoana, almaarufu Kama sogea tukae.kwa ieleweke mwanaume huwezi kupewa heshima inayostahili kwakuwa wewe si mume kamili.

Utadharaulika sana,utayachukia mahusiano,utaona Kila mwanamke hafai hapa duniani kumbe Ni wewe mwenyewe lakini yote haya yanatokana na kudharau Mila na desturi ambazo waliziishi mababu zetu.

Mfano mtoto wa miaka minne anaanza Nursery kisha anaendelea na masomo weeeeeeeee mpaka A_level huko au chuo kikuu ambapo anatembea kwenye mstari wa digital

Hajui kitu kiitwacho kufundwa,hajui namna ya kutunza bikra yake,ataitunzaje? wakati awapo masomoni wanafundishwa kujaribu Kila kitu?

Video za pono anazoangalia kwenye PC zinamfanya ajaribu kila sample ya mb..o mwisho wa siku kwake anaona hakuna jipya chini ya jua. Kama Ni mimba kashatoa. Kama Ni aina ya shafti kaonja kila aina kuanzia kibamia hadi tango.

Kuanzia wanaodunda Kati kama utosi hadi wanaopiga pande Zote 16 za dunia,wewe James unaesoma hii post utakuwa na jipya gani kwake?

Naam, amejaribu kila kitu, uwe HB au sura ya kazi yeye ashafanya conclusion,wote ninyi hata mumfikishe vilele vyote,Kama huna pesa wewe sawa na hakuna ufanyalo.

Cha kusikitisha sisi wanaume tunavutiwa Sana na Hawa watu, sura zao na maumbo yao mazuri mazuri. Tunajikakamua tunawanyima misaada ndugu zetu kwaajili ya kuhudumia Hawa viumbe.

Kibaya zaidi tunawatamkia hadi ndoa, na hapa Kuna options mbili namna ulivyokubaliwa aidha Hana pa kwenda au una vijisenti.mapenzi hakuna kabisa.

My take tusidharau jiografia, Mila na desturi tulizozikuta kwa mababu zetu ni vizuri Sana kumuoa mwanamke wa kabila lako, hii inasaidia kuimarika kwa ndoa kwa asilimia 65,narudia ni 65 percent manake nisije kulaumiwa.

Pia hii ni kwa mabibi na mabwana ogopa sana mtu anayebadilisha dini kwasababu ya ndoa madhara yake Ni makubwa mno.

Cha kushangaza yooote niliyoandika yanaweza kuwa si kitu kwakuwa mapenzi hayana formula,kaachwa Bill gate tajiri,Mimi Ni Nani? Kumuazima mtu chaja ya simu naona nitafilisika.

NB:sijahusisha ukabila Wala udini huu ni mtizamo tu.

1620804217634.png

 
And you think by sticking to your geographical jurisdiction, tribe, mythical practices and beliefs you shall have solved the mystery of marriage?

Hata wote tungekuwa kabila Moja, dini Moja na familia Moja lazima kuna ndoa zingevunjika na zingine zingedumu tu.

Why? Nature yetu kama binaadamu ni kutofautina. The best we can do ni kutojenga uadui ama kuvunja zile ties za kifamilia just because the marriage has gone sour.
 
Kwa dunia ya sasa ata uoe wa kabira lako ama ulietoka nae sehemu moja bado unaweza kukutana na matatizo, cha muhim ni kuimba Mungu akupe mwanamke anaejitambua, anaejua nafasi yake ndan ya ndoa na unaye weza kuvumilia nae mapungufu yenu.
 
Crossbreeding imesaidia kuzaa watoto wazur, warefu, wenye akili nk. Sasa leo hii unataka mluguru aoe mluguru si watazaa mbilikimo? Au mzaramo aoe mzaramo humo ndani si itakua mwendo wa vigoma asbuh mpaka jioni.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kama ndugu wa mama na baba mmoja hukosana hata washindwe kujuliana hali, sembuse watu waliojuana ukubwani.
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom