Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

Rahisi sana ingia date site jifanye mfukua tope basi vibabu kibao vya kiume vitakuja pretend nacho Kisha anakitumia nauli unaenda .
 
Serious haujui?

Ingawa sidhani kama kweli anaweza kufuta ila mfano ni kweli amefuta this means anaweza kuilink hiyo akaunti na manunuzi ya mtandaoni.

As manunuzi yanayohitaji taarifa za credit card au debit card yanahitaji namba ya akaunti ambayo hiyo hapo ipo wazi, yanahitaji expire date ya ATM card ambayo hiyo hapo ipo wazi na yanahitaji CVC.

Hiyo CVC jamaa ndiyo kaificha.

So kama Meneja Wa Makampuni anaweza kuiondoa hiyo rangi means anaweza nunua vitu online kwa kadi ya mleta uzi.
Card siku hizi zinaitisha namba from simu uliyotumia kujisajili......no easy money mzee.
 
Mkuu kwa 3 months kam ume save mil 21 basi huko kazi zina maslahi mazuri sana tupe maujuzi shufhuli unapataje huko kama una taaluma au huna na ulifanya taratibu zipi hadi kupata vibali na safari kiujumla
 
IMG_5439.png
 
Safi mkuu kama upo huko unafanya kazi halali na inakulipa hongera sana, passport yako haujaweka rehani (haujashikiwa uko nayo) uko free kusafiri, hongera sana, uwe unasoma au unafanya kazi na unapata hela safi hongera tena na tena nakushauri kaa huko huko mwanangu... Bongo nyoso saaaana... kutoboa bongo kwa miaka 28-35 ni bahati na sibu sana na unaweza usitoboe ukaishia kuwa mlevi na ukazeeka maskini.. Serikali yetu huku inakaba mpaka vivuli, fursa za hazionekani.. kila ukigeuka mshale.
 
Serious haujui?

Ingawa sidhani kama kweli anaweza kufuta ila mfano ni kweli amefuta this means anaweza kuilink hiyo akaunti na manunuzi ya mtandaoni.

As manunuzi yanayohitaji taarifa za credit card au debit card yanahitaji namba ya akaunti ambayo hiyo hapo ipo wazi, yanahitaji expire date ya ATM card ambayo hiyo hapo ipo wazi na yanahitaji CVC.

Hiyo CVC jamaa ndiyo kaificha.

So kama Meneja Wa Makampuni anaweza kuiondoa hiyo rangi means anaweza nunua vitu online kwa kadi ya mleta uzi.
Kufuta hapo ni sawa uweke hapa picha umevaa shati, atokee mtu aseme anaweza kufuta hilo shati lako ubaki huna shati, hio picha tayari imekuwa processed na software kwa kureplace hayo maandishi, huwezi hata Mossad na CIA hawawezi hio miujiza
 
Mkuu hongera sana,kama kwa miezi mi 3 una 20 million, baada ya mwaka mmoja unaweza weka mjengo wa hatari bongo, kitaani walivyo wanaa wanasema unauza dawa za kulevya, kumbe ni uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo.
 
Sasa kama bongo hapa huna mchongo na mapato yako ni chini ya 1,000,000 kwa mwezi unasubiliae nini kusepa Duniani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom