Vijana nchini Indonesia kutumia pedi zilizotumika kuwa 'high'

Pale itapogundulika kama jasho la mtu linawafanya watu kuwa high tutakuwa tunalambana kwapa kwenye madala dala humu..sijui....bora mi niko low mda wote
 
Sasa wabongo wataiga hii.... Watachanganya pedi kwenye gongo na mataputapu mengine
 
Wanawake wenyewe wanaona kinyaa hapo sasa?
Na swali la muhimu kuhusu hizo chemical zinazitumika kama ni salama kwa binadamu halijajibiwa
 
Back
Top Bottom