Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

Hell is real

JF-Expert Member
Aug 14, 2021
204
364
Habari wakuu?

Hawa vijana wa kisasa wanajua mambo haya kuwa uzinzi na uasherati ndio uliosababisha sodoma na gomora kuchomwa?

Dhambi ya uzinzi na uasherati imewapeleka watu wengi motoni na wataendelea kwenda, wokovu upo bado hizi anasa na tamaa za kimwili zina mwisho wake lakini maisha yako ya umilele ya baada ya haya ya duniani itategemea maisha yako ulioishi hapa duniani!

Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati!
 
Kwa hiyo kwa uelewa wako mkubwa dhambi zilizopo hapa duniani ni uzinzi tu na uasherati! Wewe mbona ni mchoyo, mlafi, muongo, mla kondoo, mla sadaka za waumini, mchafu, mbinafsi, mjivuni na mvivu wa kufanya kazi!

Maana muda wote uko kanisani ukikemea mapepo! Lakini hatusemi? Acha watu wafaidi haya maisha mafupi hapa duniani wewe!
 
1 Wakorintho 2:11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
 
Kuna kuchomwa moto Jehanamu kwa wizi wa fedha za watu kwa kichaka cha zaka na sadaka
Warumi 12:1 Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana. Warumi 12:2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
 
Kwa hiyo kwa uelewa wako mkubwa dhambi zilizopo hapa duniani ni uzinzi tu na uasherati! Wewe mbona ni mchoyo, mlafi, muongo, mla kondoo, mla sadaka za waumini, mchafu, mbinafsi, mjivuni na mvivu wa kufanya kazi!

Maana muda wote uko kanisani ukikemea mapepo! Lakini hatusemi? Acha watu wafaidi haya maisha mafupi hapa duniani wewe!
1 Wakorintho 6:18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
 
Habari wakuu?

Hawa vijana wa kisasa wanajua mambo haya kuwa uzinzi na uasherati ndio uliosababisha sodoma na gomora kuchomwa?

Dhambi ya uzinzi na uasherati imewapeleka watu wengi motoni na wataendelea kwenda, wokovu upo bado hizi anasa na tamaa za kimwili zina mwisho wake lakini maisha yako ya umilele ya baada ya haya ya duniani itategemea maisha yako ulioishi hapa duniani!

Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati!
We rijali kweli🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom