Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

Luka 19:10 Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
Sidhan kama huu mstari unaendana na ulicho ulizwa. Kwaiyo unamaanisha wazinz na waasherati tu ndio waliopotea?(kutokana na jibu la swali la mhusika lilivyo ulizwa)
 
Wambie watu waache kutenda dhambi sio kuwambia waache uzinzi na uashereti alaf dhambi nyingine ukazikalia kimya kama vile zenyewe zina offer.
1 Wakorintho 6:9-10
⁹ Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
¹⁰ wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.


Ndugu zangu kimbieni dhambi mrudi kwa muumba wenu ili kujihakikishia nafasi ya sehem salama siku ile dunia itakapo hukumiwa maana ata dhambi moja inatosha kukupeleka motoni

Ufunuo wa Yohana 21:27
“Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kama yaliwashinda kizazi cha kuonana na malaika sembuse sisi kizazi cha subscribe
 
Back
Top Bottom