Vijana na Siasa za kusifia na kusambaza taarifa

Mnazi kuyumba

Member
Jun 7, 2013
16
37
CHAI CHAI, 18 JULY 2022

VIJANA NA SIASA ZA KUSIFIA, NA KUSAMBAZA TAARIFA

Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka kundi la vijana ambao wameleta tafsiri mbaya ya siasa kwamba ni kusifi tu, pasipo ukomo, na kusambaza taarifa za kazi za viongozi na serikali, ni kweli hiyo ni sehemu ya siasa (Creatio of Awarenes). Ila kuna sehemu kubwa zaidi inaachwa ombwe kubwa ndani yake, nayo ni siasa ya kutatua matatizo na changamoto katika jamii, hapa kuna mchakato ambao unahitaji watu werevu kudadavua kwa kina chanzo na historia ya tatizo na kuja na nyenzo na mbinu mbalimbali za utatuzi.

Sehemu hii inahitaji ubunifu na uthubutu kwa viongozi.

Wito wangu kwa wana CCM wenzangu kipindi hiki tunachoenda kupanga safu za wafanya maamuzi katika chama ambacho ndicho kinachoongoza dola, kuwapima viongozi kwa uwezo wao wa kuja na masuluhisho ya changamoto mbalimbali.

Itikadi ya siasa zangu ni SIASA, KAZI NA MAARIFA

Imeandaliwa na:
Comrade Ally Maftah
-MWANDISHI - MAPINDUZI YA UCHUMI KATIKA UFUGAJI NA KILIMO-ISBN 978-9912-40-658-2
-Kada wa CCM - KAWE
Siasa- Kazi - Maarifa
-Bachelor of Art in Project Planning, Management and Community Development.
-Sale Specialist - MULT COMPANIES
 
Elpaul

JF-Expert Member
Jan 19, 2018
738
464
Bahati mbaya sana kila Mtanzania ni mwanasiasa ili mradi tu una connection.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,632
13,982
CHAI CHAI, 18 JULY 2022

VIJANA NA SIASA ZA KUSIFIA, NA KUSAMBAZA TAARIFA

Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka kundi la vijana ambao wameleta tafsiri mbaya ya siasa kwamba ni kusifi tu, pasipo ukomo, na kusambaza taarifa za kazi za viongozi na serikali, ni kweli hiyo ni sehemu ya siasa (Creatio of Awarenes). Ila kuna sehemu kubwa zaidi inaachwa ombwe kubwa ndani yake, nayo ni siasa ya kutatua matatizo na changamoto katika jamii, hapa kuna mchakato ambao unahitaji watu werevu kudadavua kwa kina chanzo na historia ya tatizo na kuja na nyenzo na mbinu mbalimbali za utatuzi.

Sehemu hii inahitaji ubunifu na uthubutu kwa viongozi.

Wito wangu kwa wana CCM wenzangu kipindi hiki tunachoenda kupanga safu za wafanya maamuzi katika chama ambacho ndicho kinachoongoza dola, kuwapima viongozi kwa uwezo wao wa kuja na masuluhisho ya changamoto mbalimbali.

Itikadi ya siasa zangu ni SIASA, KAZI NA MAARIFA

Imeandaliwa na:
Comrade Ally Maftah
-MWANDISHI - MAPINDUZI YA UCHUMI KATIKA UFUGAJI NA KILIMO-ISBN 978-9912-40-658-2
-Kada wa CCM - KAWE
Siasa- Kazi - Maarifa
-Bachelor of Art in Project Planning, Management and Community Development.
-Sale Specialist - MULT COMPANIES
Walioamua kufanya hivyo waachwe wafanye na wengine wafanye Kazi ya kukosoa na kuchambua kama unavyotaka.
 
Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
1,236
2,789
Tetesi zinasema kuwa CIA walimwambia Obama, wewe vaa nguo za chef (mpishi) lakini mwiko tutashika sie!
Tangu Obama anaingia mpaka anatoka madarakani hakufanikiwa kuifunga Guantanamo bay, japo likuwa his key promises.
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,754
6,307

Deep root
 
Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
6,892
6,266
Tetesi zinasema kuwa CIA walimwambia Obama, wewe vaa nguo za chef (mpishi) lakini mwiko tutashika sie!
Tangu Obama anaingia mpaka anatoka madarakani hakufanikiwa kuifunga Guantanamo bay, japo likuwa his key promises.
Rais wa Marekani yoyote yule hawezi kuingilia maslahi ya nchi, ataachwa atoe ahadi kwenye kampeni kama atakavyo, lakini akishinda na kuingia kwenye utendaji akipewa facts lazima atakwama.
Mfano wa Rais Trump, aliondolewa kimkakati baada ya kutishia maslahi ya nchi ya Marekani.
Pamoja na kuwaweka rafikiz ake kwenye bodi ya DOJ lakini alishindwa ku overturn the Election results.
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,754
6,307
Watoto hujifunza kwa wazazi/wazee
Kumbuka UVCCM ndio inatoa hao DED/DAS/DC na kwa level ya mkoa pia
Pia usisahau wakimbiza mwenge aghalabu ni hao hao UVCCM bila kusahau wabunge wa kura na vitu maalum
Walahi Hapo ndipo vijana wanapoamua kujiongeza
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom