Vijana na Siasa ushairi

Mohamed Ismail

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
214
229
Nawaza nawazua
Kama ni fumbo fumbua
Ila Kitendawili tegua
Twenti twenti ilishawadia
Uchaguzi watunyemelea
Siasa yaanza kukolea
Yatupasa vijana kuingia
Huu muda si wa kuzodoa
Taifa linatutegemea
Amkeni amkeni
Tuweke kiapo cha yamini
Mlimwengu nina imani
ikiwekwa nadhiri moyoni
Ushindi waja mbioni
Tuwatoe mwafulani
Mpira si dakikia tisini?
Waokote magoli nyavuni
Walijifanya mungu watu
Kuacha rushwa asubutu
Ikawa chuma na kutu
Si upele ni ukurutu
Wakajivika roho ya chatu
Abadani tukampata jabali
Kila mtu akakubali
Vibaka wakapigwa kabali
Ikarudi misingi ya awali
Tuzidi kuomba jalali
Nani kama magufuli?
Hamsa apewe ya pili
Tuwakomeshe majangili
Kesi ya kima asipewe tumbili.
Niachieni mlimwengu
Niwafunze walimwengu
Nikamilishe ya mungu
Niwasaidie mama zangu
Pale walipoishia
Mlimwengu namalizia
Mashimo waliyowaachia
Mimi nitayafukia
#manjuMlimwengu
#mlimwengumimi
#vijananasiasa
#magufulitena
 
Silahaa za mwisho za CCM!
tapatalk_1582962316900.jpeg
masoudkipanya_B9A_6OMDjZT.jpeg
masoudkipanya_B9GSmqxjtws.jpeg
 
Back
Top Bottom