Vijana mtawapa nini urithi watoto wenu

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
946
771
Kwa jinsi nnavyoona muelekeo wa Vijana wa dot com.

Kuna uwezekano mkubwa wakakosa kitu cha kuwarithisha watoto wao.

Maana wengi ni wabobezi wa P. Na mipicha picha hotelini na supermarkets.

Ma "tatoo" kibao kama wanaHiphop kuvuta mi shishaaa. ..

Tunawasomesha kichwani pungwan tu
 
Huu mmomonyoko wa maadili unachangiwa vile vile na baadhi ya wazazi kuwa mbali na watoto wao, kijana anapiga kata k, anarudi nyumbani saa tano usiku, nk mzazi anamwangalia tuu, na kumwacha bila ya kumkalisha chini na kumweleza
 
Kwa jinsi nnavyoona muelekeo wa Vijana wa dot com.

Kuna uwezekano mkubwa wakakosa kitu cha kuwarithisha watoto wao.

Maana wengi ni wabobezi wa P. Na mipicha picha hotelini na supermarkets.

Ma "tatoo" kibao kama wanaHiphop kuvuta mi shishaaa. ..

Tunawasomesha kichwani pungwan tu
Safi sana mleta mada,hizi ndio post zenye kujenga jamii na mustakbali wa vijana wa leo..hapo ni kama unawa alert vijana wasijisahau
Big up Mkuu
 
Ukiangalia kwa mfano mtu kama "sepeto" akipata mtoto na jinsi alivyoandikwa magazetini kwa issue za kupiga msamba sijui mtoto anapata sifa gani nzuri
 
Kwa jinsi nnavyoona muelekeo wa Vijana wa dot com.

Kuna uwezekano mkubwa wakakosa kitu cha kuwarithisha watoto wao.
e
Maana wengi ni wabobezi wa P. Na mipicha picha hotelini na supermarkets.

Ma "tatoo" kibao kama wanaHiphop kuvuta mi shishaaa. ..

Tunawasomesha kichwani pungwan tu
Umeona eeh maisha ya kuigiza hata maandiko matyakatifu yanasema tuwaachie watoto urithi!
 
Jana niliona interview kwenye TV ya dogo mmoja alikuwa big brother ...dogo kavurugwaaaa..

Hana mwelekeo. ...wazazi tuna kazi kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom