Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

Hata kwenye app Usifanye mambo magumu kama kufungua geti sijui kilimo app... fanya app zinazoruhusu watu wa enjoy maisha na wafanye upuuzi.. uone utavyopata watu wengi

Mfano app ya Tik tok ni upuuzi tu.. wanawake wanavyopenda upuuzi wameipokea kwa mikono miwili na imekuwa ndio app inayoongoza kwa profit dunia nzima.. na value yake inapanda kila siku
umeongea kweli watu wa sasa hawataki vitu complicated.
Ukipeleka vitu complicated halafu uanze kuandaa seminars,trainings ya jinsi ya kutumia hupati watu kabisa.
s
 
Hii ni fursa ila naona watu wa IT hawajagundua tu.
Hao wanawaza applications ngumu ambazo hazipo compatible na society.
Maisha haya hivi kuna App nyingi Duniani kama hizo za bei za mazao na nafaka hemu fanya research kabla ya kuandika.

Zipo karibu 300
 
Kwa Tanzania kuna local application ambayo inafanya kazi hiyo?
Yaani badala kumngoja mtu wa kutoka Nigeria au China kutuambia bei ya mazao ya Iringa,mbeya kwa nini kusiwe na mzawa mwenye hiyo application.

1)Zipo kibaoooo

2)Ni ubunifu Useless kwa developer, developer mwenye maono hawezi tengeneza takataka kama hiyo, hakuna watu wanaishi Primitive kama Dealer wa kilimo then uweke solution huko utegemee Bingo...mcheki C.T.U wazo lake la DUNDA hizo ndio Current Innovation ni idea inayolenga mlengwa wa Dunia, Innovation unavyoangalia kwa jicho lako ku-solve matatizo ya Jamii tofauti na Dunia ilivyo look on LIKEE, SNAPCHAT does why I said DUNDA ni Current World Money Belong sio eti solution za mazao geita nje ya nchi.
 
Mkuu theory ya dunia ya kwanza ndo chanzo cha umaskini wa Africa.Tangu enzi na enzi tumekuwa dunia ya kwanza rejea historia ya ustaarabu wa Africa.Tumeanza kuwa dunia ya tatu baada ya hao wazungu kuanza kuturudisha nyuma.Huwei kuendelea bila kuongeza kasi katika teknolojia.Unaifahamu China wewe?China ilikuwa maskini kuliko Tanzania/kama Tanzania Malysia nayo lakini sasa ni ncnhi zenye uchumi imara ni kwa sababu waliamua kukimbizana na dunia katika unyonge wao.

Sasa hivi ni zama za teknolojia so inapendeza tukiwa na uelekeo wa kutaka na sisi kuwa sehemu ya tknolojia.Kumbuka dunia na teknoljia inaendelea kukua.Teknolojia imechangia pakubwa katika kuifanya Africa ipate maendeleo haraka kuliko Ulaya na kwingineko
Sawa...hzo nchi zilifanya mapinduz ya kiviwanda ma kuchakata raw materials za mashamban na ardhin.

Sasa hawa vijana wako wa silicon dar technolojia zao unazijua kwanza mkuu...ni mifumo ya kiprogram ya ajab ajab ya anasa.wakat bado nchi zetu zna strugle na chakula miundombinu.afya.makazi etc..

Mkuu nadhan kuna sehem hatuelewan mim na wew
 
Hamjamuelewa Napoleone yeye hakatai umuhim wa teknolojia na wala si kwamba hajui jinsi inavyopeleka dunia kasi.

Anachosisitiza ni kwamba, mfumo uliopo na tumekubaliana nao, hauwezi kutoa mwanya au mazingira rafiki kwa waafrika hasa hasa watanzania kuongoza au kushamiri kwenye hiyo tasnia.

Kumbuka china walichukya maamuzi magumu kama nchi yaliyohusisha sera na mikakati ya muda mrefu ikiwepo kuingia vitani au mikwaruzano na jamaa wanaofikiria kila kukicha namna ya kuendelea kuongoza kwenye teknolojia. Ni kweli dunia inaelekea 5G lakini kama nchi, hatuko tayari kuandaa watu na mazingira kuingia huko, ina maana turaletewa kila kitu kutoka huko sie wapokeaji na watumiaji tu.

Kwa sasa habari ni internet of things, machine learning, Artificial intelligent n.k kitu ambacho sie mitaala yetu ndio kwanza huenda wanaiboresha kuanza kufikiria kuingiza hivyo vitu, sasa hapo mtajikuta wakati wote mnafukuzana na mambo kwa kufuata upepo wa waliowatangulia.

Kuna wakati niliwaza bora tungewekeza zaidi kwenye mambo tunayoyaweza zaidi sisi mfano kilimo, ufugaji, madini, biashara n.k hata elimu yetu ingeweka zaidi msisitizo huko ungeona ambavyo watu wangejiajiri na kufanya maajabu.

Mambo ya electronics na computer bora tupeleke wataalam wachache wakasome huko kwenye maendeleo ambapo hata kufanya tafiti na ubora wa elimu upo juu. Ni ngumu sana kutengeneza wataalam waliobobea kwenye mazingira ya elimu iliyosheheni nadharia sana.
Safi sana mkuu.wew umenielewa vzur kabisa
 
Ndio maana nikasema mabadiliko hayo yanaanza kisera na kuwa na mikakati ya muda mrefu kama nchi huku tukiwa tunaelewa athari za hatua tunazozichukua.

Ugumu wa kuwa na vyuo vinavyotoa wataalam waliobobea kwenye uvuvi, kilimo na ufugaji hauwezi kulingana na kuandaa wataalam wa Teknolojia. Maabara na maeneo ya kufanyia tafiti bado haziko rafiki. Wataalam wa kilimo, ufugaji, uvuvi n.k wanaweza kufanya elimu yao kwa vitendo na kuandaa wahitimu walioiva bila kuwekeza sana.

Unaweza kuona mfumo wetu wa elimu unahitajinmaboresho makubwa sana kuendana na changamoto za sasa na kwenda na kasi ya teknolojia.

Kusema utajiri sio kipaumbele sifikirii upo sahihi sana huenda tukatofautiana kwenye kutafsiri utajiri. Tufanye sionutajiri ila mtu kuweza kumudu kujiendesha kimaisha kwa kiwango cha kipato cha kati. Bijana wanatakiwa waendeleze tafiti na teknolojia lakini vile vile waishi..hayo yote yanahiraji mazingira rafiki kuweza kufanikiwa.

Utaweza kushindana na watu kwenye mambo ya IoT, Robotics, AI, ML ambao tayari kwao yanafanya kazi na wanaendelea kufanya mifumo rafiki kwenye hayo mambo wakati hapa bitcoin bado ni jinai? Wakati mtakapoanza kujifunza mbajikuta ni wapokeaji tu wa teknolojia.

Bila mabadiliko makubwa ya kimfumo kwenye elimu na sera, usitegemee kufikia hicho unachokiita maendeleo ya kiteknolojia hivi karibuni.
Mkuu jamaa nahis ni bado kijana wa chuo..hata sie tulikua na mawazo kama yeye...ila atakapoingia kwenye uhalisia mtaan ndio atafahamu
 
Sawa...hzo nchi zilifanya mapinduz ya kiviwanda ma kuchakata raw materials za mashamban na ardhin.

Sasa hawa vijana wako wa silicon dar technolojia zao unazijua kwanza mkuu...ni mifumo ya kiprogram ya ajab ajab ya anasa.wakat bado nchi zetu zna strugle na chakula miundombinu.afya.makazi etc..

Mkuu nadhan kuna sehem hatuelewan mim na wew

1)Technology za mlengwa wa viwanda ni jukumu la serikali na ndicho inachofanya serikalini sasahivi.

2)Technology za mlengwa wa Silicon Valley ni jukumu na utendaji kazi wa mtu binafsi...serikalini tunahitaji ku-fix maeneo machache tu.

Kila nchi Duniani watu wana practice technology ya mlengwa wa Silicon Valley kwanini wewe unataka nchi yako wa stay behind.
 
Sipo katika hiyo fani lakini nina marafiki baadhi wanaofanya hivyo vitu ndio maana nikakuambia tu bado hujawaelewa..

So kwako ni bora mtu kujifunza na kuwekeza katika kitu anachokiamini au afanye vitu ambavyo kila mtu anafanya sababu havina risk ??...

Naelewa kuwa kuna wimbi kubwa la graduates wa IT kutengeneza apps lakini jiulize swali rahisi, makampuni mengi makubwa yanatumia apps na kwenye requirements zao za kazi hicho nacho huwekwa kama kigezo je, mtu asipokuwa na kitu cha kuonesha unadhani atapata kazi ???
Upo katika kuajiriwa zaid mkuu..kwa ulimwengu huu utachelewa sana..toka 2015 ushaskia ajira za maana ngap...

Sis tunashaur vijana wajikite kwenye vtu vyenye tija kwa wakat uliopo.wacheze na nyakat..nenda kkoo uone watu wanavyopiga pesa.unawezaa changanyijkiwa...na hyo ndio siri...mnaambiwa kila siku.anzia sokoni.uone watu wanataka nin..ndio upeleke bidhaa yako.sasa mtu anatengeneza program ya kufungua geti..hiv ni wangat wana mageti ya namna hyo ..hata masaki hakuna kihivyo..sjui app ya nin etc..et program ya kunwagilia bustan.hiv utawauzia watu wangap hyo programu....hiv sjui tunaelewana..au nawee ndo hao hao vijana dot com..watasubir sana.wenzao tulishastuka zaman now tunauza nafaka.mchele unga ambao kila mswahili atakula kila siku.
 
1)Technology za mlengwa wa viwanda ni jukumu la serikali na ndicho inachofanya serikalini sasahivi.

2)Technology za mlengwa wa Silicon Valley ni jukumu na utendaji kazi wa mtu binafsi...serikalini tunahitaji ku-fix maeneo machache tu.

Kila nchi Duniani watu wana practice technology ya mlengwa wa Silicon Valley kwanini wewe unataka nchi yako wa stay behind.
Sababu kihalisia tuko behind tayar miaka 400..hazina tija sana hzo ukilinganisha na tractor au mbolea au pembejeo za kilimo na madawa
 
1)Zipo kibaoooo

2)Ni ubunifu Useless kwa developer, developer mwenye maono hawezi tengeneza takataka kama hiyo, hakuna watu wanaishi Primitive kama Dealer wa kilimo then uweke solution huko utegemee Bingo...mcheki C.T.U wazo lake la DUNDA hizo ndio Current Innovation ni idea inayolenga mlengwa wa Dunia, Innovation unavyoangalia kwa jicho lako ku-solve matatizo ya Jamii tofauti na Dunia ilivyo look on LIKEE, SNAPCHAT does why I said DUNDA ni Current World Money Belong sio eti solution za mazao geita nje ya nchi.
Hapo ndipo wataalam wa Bongo mnapofeli.
Mnaiga wataalam wa marekani bila kuhusianisha mazingira halisi ya nchi yako na watu wanaokuzunguka.
Unadharau kilimo wakati ndio uti wa mgongo wa taifa letu na karibu ya 60% ya watanzania wanategemea kazi za kilimo.
Una kitu gani cha kujivunia katika nchi yako zaidi ya kilimo.
Na ukija kwenye ushindani wa kidunia wewe uliyesoma UDOM au jalalani UDSM kwa kukaririshwa makaratasi unaweza kushindana na mtu wa China au Marekani katika mambo ya innovation?
 
Back
Top Bottom