Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

hahaha nachojua ni masikini pekee kama wewe ndo wana mawazo ya kutajirika.... alafu acha kulalamika wewe kama mtoto wa kike...usipende kukaa na wanawake ww mtoto wa kiume ona sasa unavyotukana kama wale malaya wa msasani.....acha umama usipangee watu maisha little man...just live your goddamn life and mind your own goddamn business black being....
Nakuunga mkono kwenye kumsema mtoa mada ila hapo kwenye kuhusu kutajirika umeandika ujinga, hakuna asiyependa/kutaka kutajirika na kama wewe utaki kutajirika ni huna akiri.
 
namaanisha matajiri au watoto wa matajiri na wao watake utajiri wa nini??...
 
Mtoa mada njoo weekend hapa Silicon Dar kuna mgahawa unaitwa Startup Restaurant nakuwa na wenzangu tukiDiscusa mawazo huku tukipiga Coding kukamilisha Apps zetu.

Tunakula ma Juice ya takeaway na ma pizza ya kutosha life la Tz lishakuwa kama marekani tu mbona unataka kujitesa.

Kariakoo= New York
Kigamboni= Miami Florida
Kijitonyama = Sanflansisco
Sinza = LosAngels
Posta = WallStreet

Utachagua unapenda nini wazee wa startup tumechagua kijironyama.
Wanasemaje hapo sanflansisco?
 
Na ndomana tunafeli..kuruka hatua kunafanya watu wapike data ilimradi.kuruka hatua ndo kunaifanya africa kuwa maskin na tegemez..tunaruhusu mifumo ya dunia ya kwanza i apply africa mwisho wa siku tunachangamana hatuwez fanya lolote sabab kila kitu kinatoka huko kulikoendelea na sis tunabweteka..na ndomana hata inventions znakua ngum sabab kila kitu kiko mezan.ila tungejifungia mipaka na kutoruhusu mchangamano nakwambia sssa hvi tungeweza tengneza magar yetu.dawa zetu.ellimu zetu etc.wataalam wetu.ila sasa ndo hvo tunarukia hatua nyingne ambayo kwetu sis inakua fake sio natural ndomana hatupig hatua
Mkuu theory ya dunia ya kwanza ndo chanzo cha umaskini wa Africa.Tangu enzi na enzi tumekuwa dunia ya kwanza rejea historia ya ustaarabu wa Africa.Tumeanza kuwa dunia ya tatu baada ya hao wazungu kuanza kuturudisha nyuma.Huwei kuendelea bila kuongeza kasi katika teknolojia.Unaifahamu China wewe?China ilikuwa maskini kuliko Tanzania/kama Tanzania Malysia nayo lakini sasa ni ncnhi zenye uchumi imara ni kwa sababu waliamua kukimbizana na dunia katika unyonge wao.

Sasa hivi ni zama za teknolojia so inapendeza tukiwa na uelekeo wa kutaka na sisi kuwa sehemu ya tknolojia.Kumbuka dunia na teknoljia inaendelea kukua.Teknolojia imechangia pakubwa katika kuifanya Africa ipate maendeleo haraka kuliko Ulaya na kwingineko
 
Hamjamuelewa Napoleone yeye hakatai umuhim wa teknolojia na wala si kwamba hajui jinsi inavyopeleka dunia kasi.

Anachosisitiza ni kwamba, mfumo uliopo na tumekubaliana nao, hauwezi kutoa mwanya au mazingira rafiki kwa waafrika hasa hasa watanzania kuongoza au kushamiri kwenye hiyo tasnia.

Kumbuka china walichukya maamuzi magumu kama nchi yaliyohusisha sera na mikakati ya muda mrefu ikiwepo kuingia vitani au mikwaruzano na jamaa wanaofikiria kila kukicha namna ya kuendelea kuongoza kwenye teknolojia. Ni kweli dunia inaelekea 5G lakini kama nchi, hatuko tayari kuandaa watu na mazingira kuingia huko, ina maana turaletewa kila kitu kutoka huko sie wapokeaji na watumiaji tu.

Kwa sasa habari ni internet of things, machine learning, Artificial intelligent n.k kitu ambacho sie mitaala yetu ndio kwanza huenda wanaiboresha kuanza kufikiria kuingiza hivyo vitu, sasa hapo mtajikuta wakati wote mnafukuzana na mambo kwa kufuata upepo wa waliowatangulia.

Kuna wakati niliwaza bora tungewekeza zaidi kwenye mambo tunayoyaweza zaidi sisi mfano kilimo, ufugaji, madini, biashara n.k hata elimu yetu ingeweka zaidi msisitizo huko ungeona ambavyo watu wangejiajiri na kufanya maajabu.

Mambo ya electronics na computer bora tupeleke wataalam wachache wakasome huko kwenye maendeleo ambapo hata kufanya tafiti na ubora wa elimu upo juu. Ni ngumu sana kutengeneza wataalam waliobobea kwenye mazingira ya elimu iliyosheheni nadharia sana.
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nin sjui etc etc etc

Vijana wenzangu hiz technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubir sana kwa mwekezaj kuweka hela..vijana weng mnajikita kwenye biashara ngum ngum.kiukwel niwambie hizo hazina helaaaa..africa bado sana

Jikiten kwenye mambo ya kawaida tuu..usiumize kichwa snaa ..we unamwona bakheresa au mo biashara zao...wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo.etc etc....buy and sell vitu rahisi rahisi tuu ..sasa mtu unahangaika weee..daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo..nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwez wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.

Upo sawa na haupo sawa! What you think not everyone will think the same way! kuna watu Mungu kaweka vitu na jitihada mioyonu kwao ambavyo mwingine hawezi kuona!

Sasa shida yako ni kwamba unataka wewe kuona vyawezekana Umeamkaje, hilo haliwezekani kabisa!

Ukiweza na ukitaka msaidie, ukishindwa acha!

Ila na nyie mnaoota kila siku, you will realize your dream when you wake up! Msikae na ndoto tu mpaka 35 Hakuna kitu, at the age of 35 kama uja realize income hemu badili strategy!
 
Hamjamuelewa Napoleone yeye hakatai umuhim wa teknolojia na wala si kwamba hajui jinsi inavyopeleka dunia kasi.

Anachosisitiza ni kwamba, mfumo uliopo na tumekubaliana nao, hauwezi kutoa mwanya au mazingira rafiki kwa waafrika hasa hasa watanzania kuongoza au kushamiri kwenye hiyo tasnia.

Kumbuka china walichukya maamuzi magumu kama nchi yaliyohusisha sera na mikakati ya muda mrefu ikiwepo kuingia vitani au mikwaruzano na jamaa wanaofikiria kila kukicha namna ya kuendelea kuongoza kwenye teknolojia. Ni kweli dunia inaelekea 5G lakini kama nchi, hatuko tayari kuandaa watu na mazingira kuingia huko, ina maana turaletewa kila kitu kutoka huko sie wapokeaji na watumiaji tu.

Kwa sasa habari ni internet of things, machine learning, Artificial intelligent n.k kitu ambacho sie mitaala yetu ndio kwanza huenda wanaiboresha kuanza kufikiria kuingiza hivyo vitu, sasa hapo mtajikuta wakati wote mnafukuzana na mambo kwa kufuata upepo wa waliowatangulia.

Kuna wakati niliwaza bora tungewekeza zaidi kwenye mambo tunayoyaweza zaidi sisi mfano kilimo, ufugaji, madini, biashara n.k hata elimu yetu ingeweka zaidi msisitizo huko ungeona ambavyo watu wangejiajiri na kufanya maajabu.

Mambo ya electronics na computer bora tupeleke wataalam wachache wakasome huko kwenye maendeleo ambapo hata kufanya tafiti na ubora wa elimu upo juu. Ni ngumu sana kutengeneza wataalam waliobobea kwenye mazingira ya elimu iliyosheheni nadharia sana.
Mkuu hakuna urahisi wowote ule,iwe kwenye kilimo,iwe kwenye biashara wala kwenye teknoljia wala kwenye siasa wala kwenye teknolojia.Kila eneo lina ugumu wake.Sidhani kama tutakuwa tunakosea kama tukianza kufikiria in terms of IOT,5g au hata 6G ,AI,Robotics na zaidi ya Hapo.
Kama taifa tutakuwa tumefanya jambo kubwa zaidi kuliko kuendele kujidharau,kuhofia na kukatishana tamaa.Wagunduzi wote duniani usifikiri walipiga Hela hapana,ila tafiti zao zilisaidia kuifanya dunia iwe bora zaidi.Na hilo ndio tunalotaka,Tuwe na jamii ambayo iko tayari kufuata njia ambayo ni ngumu katika kuleta mabadiliko.

Habari ya kutajirika katika maisha hilo ni swala lingine na hata wakiachana na hzo project za teknoljia bado sio guarantee ya kutajirika.
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nin sjui etc etc etc

Vijana wenzangu hiz technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubir sana kwa mwekezaj kuweka hela..vijana weng mnajikita kwenye biashara ngum ngum.kiukwel niwambie hizo hazina helaaaa..africa bado sana

Jikiten kwenye mambo ya kawaida tuu..usiumize kichwa snaa ..we unamwona bakheresa au mo biashara zao...wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo.etc etc....buy and sell vitu rahisi rahisi tuu ..sasa mtu unahangaika weee..daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo..nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwez wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.

Huyo hajalogwa na mtu ila ni hali ngumu za maisha ndiyo mlozi mkubwa kipindi hiki.

Huku ninapoishi kuna viwanda vitatu (3) vilivyokuwa tegemezi kwa ajira vimefungwa, kuna mamia ya watu hawana ajira.
 
Mkuu hakuna urahisi wowote ule,iwe kwenye kilimo,iwe kwenye biashara wala kwenye teknoljia wala kwenye siasa wala kwenye teknolojia.Kila eneo lina ugumu wake.Sidhani kama tutakuwa tunakosea kama tukianza kufikiria in terms of IOT,5g au hata 6G ,AI,Robotics na zaidi ya Hapo.
Kama taifa tutakuwa tumefanya jambo kubwa zaidi kuliko kuendele kujidharau,kuhofia na kukatishana tamaa.Wagunduzi wote duniani usifikiri walipiga Hela hapana,ila tafiti zao zilisaidia kuifanya dunia iwe bora zaidi.Na hilo ndio tunalotaka,Tuwe na jamii ambayo iko tayari kufuata njia ambayo ni ngumu katika kuleta mabadiliko.

Habari ya kutajirika katika maisha hilo ni swala lingine na hata wakiachana na hzo project za teknoljia bado sio guarantee ya kutajirika.

Ndio maana nikasema mabadiliko hayo yanaanza kisera na kuwa na mikakati ya muda mrefu kama nchi huku tukiwa tunaelewa athari za hatua tunazozichukua.

Ugumu wa kuwa na vyuo vinavyotoa wataalam waliobobea kwenye uvuvi, kilimo na ufugaji hauwezi kulingana na kuandaa wataalam wa Teknolojia. Maabara na maeneo ya kufanyia tafiti bado haziko rafiki. Wataalam wa kilimo, ufugaji, uvuvi n.k wanaweza kufanya elimu yao kwa vitendo na kuandaa wahitimu walioiva bila kuwekeza sana.

Unaweza kuona mfumo wetu wa elimu unahitajinmaboresho makubwa sana kuendana na changamoto za sasa na kwenda na kasi ya teknolojia.

Kusema utajiri sio kipaumbele sifikirii upo sahihi sana huenda tukatofautiana kwenye kutafsiri utajiri. Tufanye sionutajiri ila mtu kuweza kumudu kujiendesha kimaisha kwa kiwango cha kipato cha kati. Bijana wanatakiwa waendeleze tafiti na teknolojia lakini vile vile waishi..hayo yote yanahiraji mazingira rafiki kuweza kufanikiwa.

Utaweza kushindana na watu kwenye mambo ya IoT, Robotics, AI, ML ambao tayari kwao yanafanya kazi na wanaendelea kufanya mifumo rafiki kwenye hayo mambo wakati hapa bitcoin bado ni jinai? Wakati mtakapoanza kujifunza mbajikuta ni wapokeaji tu wa teknolojia.

Bila mabadiliko makubwa ya kimfumo kwenye elimu na sera, usitegemee kufikia hicho unachokiita maendeleo ya kiteknolojia hivi karibuni.
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nin sjui etc etc etc

Vijana wenzangu hiz technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubir sana kwa mwekezaj kuweka hela..vijana weng mnajikita kwenye biashara ngum ngum.kiukwel niwambie hizo hazina helaaaa..africa bado sana

Jikiten kwenye mambo ya kawaida tuu..usiumize kichwa snaa ..we unamwona bakheresa au mo biashara zao...wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo.etc etc....buy and sell vitu rahisi rahisi tuu ..sasa mtu unahangaika weee..daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo..nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwez wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.
Dah...usiwaze sana juu ya utajiri....waza sana juu ya kuwasaidia binadamu wengine ....
Kihisabati tajiri ni yule anayepokea kikubwa na kutoa kidogo....mara nyingi vifo vyao huwa vibaya sana
 
Ndio maana nikasema mabadiliko hayo yanaanza kisera na kuwa na mikakati ya muda mrefu kama nchi huku tukiwa tunaelewa athari za hatua tunazozichukua.

Ugumu wa kuwa na vyuo vinavyotoa wataalam waliobobea kwenye uvuvi, kilimo na ufugaji hauwezi kulingana na kuandaa wataalam wa Teknolojia. Maabara na maeneo ya kufanyia tafiti bado haziko rafiki. Wataalam wa kilimo, ufugaji, uvuvi n.k wanaweza kufanya elimu yao kwa vitendo na kuandaa wahitimu walioiva bila kuwekeza sana.

Unaweza kuona mfumo wetu wa elimu unahitajinmaboresho makubwa sana kuendana na changamoto za sasa na kwenda na kasi ya teknolojia.

Kusema utajiri sio kipaumbele sifikirii upo sahihi sana huenda tukatofautiana kwenye kutafsiri utajiri. Tufanye sionutajiri ila mtu kuweza kumudu kujiendesha kimaisha kwa kiwango cha kipato cha kati. Bijana wanatakiwa waendeleze tafiti na teknolojia lakini vile vile waishi..hayo yote yanahiraji mazingira rafiki kuweza kufanikiwa.

Utaweza kushindana na watu kwenye mambo ya IoT, Robotics, AI, ML ambao tayari kwao yanafanya kazi na wanaendelea kufanya mifumo rafiki kwenye hayo mambo wakati hapa bitcoin bado ni jinai? Wakati mtakapoanza kujifunza mbajikuta ni wapokeaji tu wa teknolojia.

Bila mabadiliko makubwa ya kimfumo kwenye elimu na sera, usitegemee kufikia hicho unachokiita maendeleo ya kiteknolojia hivi karibuni.
Mkuu,huu wimbo wa mabadiliko katika elimu,sera etc ni kisingizio tu ila ukweli mabadili yanayotakiwa ni hayo ambayo tunaambiana kwamba hayalipi,Ya watu kujifunza teknoljia,kuwa wabunifu na kutafuta suluhu ya matatizo yetu kwa kutumia teknolojia.Hayo ndio mabadiliko ambayo yatazaa hayo mengine.Tusijifiche katika visingizi vya sera,Sera nani atazibadili,elimu nani ataibadili kama fikra zetu bado zinaona mabadiliko na jitihada za kujifunza na kugundua ni upuuzi?Je unafikiri hayo mataifa yaliyoendelea yaliamka asubuhi yakatunga sera ndo sera zikaleta mabadiliko?

Kuna watu walipoteza ndot nyingi katika maisha yao na kutumia muda na akili zao katika kutafitti teknoljia,kufikiri mbele na mbali na kuamua kuoneka wapumbavu wanaopoteza muda ndo wakafikia hatua hio ya mafanikio.
 
Chukuen mifano ya matajir waliwazunguka vijana..msipoteze muda..mi mwenye nmesoma madude hayo hayo ila nimekuja ona yanapoteza muda tuu.njaa kal.majukum yanakusubir..ingekua hyo ni hela africa bas bakhresaa na mo wangewekeza huko.lakin wanajua application yake ni ndogo snaa Tz na haina tija

Sipo katika hiyo fani lakini nina marafiki baadhi wanaofanya hivyo vitu ndio maana nikakuambia tu bado hujawaelewa..

So kwako ni bora mtu kujifunza na kuwekeza katika kitu anachokiamini au afanye vitu ambavyo kila mtu anafanya sababu havina risk ??...

Naelewa kuwa kuna wimbi kubwa la graduates wa IT kutengeneza apps lakini jiulize swali rahisi, makampuni mengi makubwa yanatumia apps na kwenye requirements zao za kazi hicho nacho huwekwa kama kigezo je, mtu asipokuwa na kitu cha kuonesha unadhani atapata kazi ???
 
Mkuu,huu wimbo wa mabadiliko katika elimu,sera etc ni kisingizio tu ila ukweli mabadili yanayotakiwa ni hayo ambayo tunaambiana kwamba hayalipi,Ya watu kujifunza teknoljia,kuwa wabunifu na kutafuta suluhu ya matatizo yetu kwa kutumia teknolojia.Hayo ndio mabadiliko ambayo yatazaa hayo mengine.Tusijifiche katika visingizi vya sera,Sera nani atazibadili,elimu nani ataibadili kama fikra zetu bado zinaona mabadiliko na jitihada za kujifunza na kugundua ni upuuzi?Je unafikiri hayo mataifa yaliyoendelea yaliamka asubuhi yakatunga sera ndo sera zikaleta mabadiliko?

Kuna watu walipoteza ndot nyingi katika maisha yao na kutumia muda na akili zao katika kutafitti teknoljia,kufikiri mbele na mbali na kuamua kuoneka wapumbavu wanaopoteza muda ndo wakafikia hatua hio ya mafanikio.

You are right Sir.
 
Mleta mada kaleta mada pana. Maendeleo ktk nchi zetu bado sana. Kubuni app na mengineyo ya aina hiyo yanaweza vusha watu wa kuhesabu.

Lakini shughuli za kawaida eg biashara, kilimo, ufugaji nk inatoa ajira kwa wengi na soko ni kubwa. Binafsi natafuta ajira, lakini ufugaji wa kuku na bata ninao endelea nao wateja wa mayai asili ( Malawi, croiller na kienyeji wanalisha nje ndani ya fance kubwa) nashindwa kuwatosheleza.

Tupeane masoko
 
Natafuta App ambayo itanisaidia kufaham mabadiliko ya bei za nafaka sokoni.

Inayo patikana kwenye App store
 
Umeongea vizuri mkuu, kweli haya mambo yafanyike kama hobby, mimi bachelor yangu sikusoma hayo mambo ila kwa sasa nimejiongeza naweza nunua source code ni nikacustomize kwenda kwenye kitu ninachokitaka mimi...

Online kuna utajiri watu hawajui tu, still naamini tu kuna siku hela zitalipuka upande wangu, ni suala la muda tu.
Mkuu tatizo sio ndugu yako tatizo ni wewe,Kwanza kabisa wabongo wengi katika swala la miradi ya teknolojia hawako disruptive zaidi wanafanya copy pasting,wanatengeneza solution ambazo tayari ziko sokoni wanasema wametengeneza kitu kipya na kinaposhindwa kushindana inakuwa tatizo.

Project za teknolojia zinapaswa kufanyika kama hoby zaidi na sionjia ya kupata bingo.Ila usiseme waachane nazo hapana bali wafikirie katika namna ya kutengeneza pesa.Waangalia Changamoto zilizopo katika mazingira yetu kisha walete disruptive technlogy kama hawatamake.Lazima wajifunze kufikiria nje ya BOX ila teknoljia bado inalipa we unaona ngumu kwa sababu sio fani yako.
 
Back
Top Bottom