Vijana msikubali kutumika katika swala la katiba mpya:

mnyamiwono

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
708
71
Ndugu wanajamvi, habari ya jumapili! nimeona leo tuweze kushare mada hii muhimu ikizingatiwa kuwa sisi sote ni wadau wa hatima ya taifa letu na si vinginevyo. Kumekuwa na tabia ya vijana wenzangu kutumika kisiasa katika mambo mbali mbali hususani ya kisiasa bila kujua hatima ya nini tunachokifanya. Kwa mfano ni sisi vijana ndio tunaoratibu mikutano mingi ya kisiasa moja kwa moja au kwa nyuma. Leo hii vijana tumefika mbali hasa katika swala la mchakato wa katiba mpya , kuna vijana wanajiita eti VIJANA WA CCM ELIMU YA JUU nimewaona kwenye TV wakipinga na kuhoji muungano wa viongozi wakuu wa vyama vya siasa kuhusu swala la katiba mpya, sasa mimi nawauliza ninyi vijana mnamasilahi gani katika mchakato huu? eti mnajinadi mnawakilisha vijana, vijana gani mnawawakilisha? na nani amewatuma? au mnatafuta umaarufu ili baadaye mpewe UDC na mambo yanayofanana na hayo? Kama hamuelewi vitu kaeni kimya ......njaa zenu zisiwaponze watanzania wengine. Kifupi ni kwamba sheria ya katiba mpya ni mbovu ndo maana tunamuomba mh; Rais asisaini huu mswaada kwa manufaa ya vizazi lukuki vijavyo,......Nyiye mnaita press conference na mashati yenu ya kijani eti mnawapinga viongozi hawa.....maana ya elimu ya juu wadogo zangu siyo hiyo mnayodhani ninyi....ila ni kuweza kutafakari mambo na kuwa msaada katika jamii inayokuzunguka kama wanavyofanya hawa viongozi wa siasa. Ari yangu ni kwamba tabia hiyo msirudie ,sisi vijana hatuwatambui ninyi katika swala la katiba ya taifa hili,......kama mnainterest zenu naomba namomba mkazifaniye kwenye mambo tofauti na hili........ kwasababu hamjui mlifanyalo tunawasamehe bure!
 
Wewe ni mbulula, unataka atumike nani?...una maana kwa kuwa ccm wamemaliza kazi waliodhamilia kwenye hiyo katba basi watanzania wanyamaze, mbafu kabisa
 
vijana wa elimu ya juu walikuwa enzi hizo hawa wa siku hizi hawana upeo wowote ni waganga njaa ndio maana kila mtu anawapuuza.
 
upo sawa kabisa,kama kijana msomi anakubali kutumika kama toilet paper hadi anadharauliwa na wale ambao hawakwenda shule huko vijijini kweli ni majanga.HAKIKA NJAA MBAYA
 
Hao Vijana wa CCM wanadhalilisha taaluma na Vyuo wanavyotoka, Wanawaza kwa kutumia matumbo yao badala ya kutumia bongo. Mchakato ni Mbovu hata kama hauna hakiri, waweza kuona hata mpinzani aliyeteuliwa na Rais kuwa mbuge ameungana na wenzake kwa manufaa ya taifa na kizazi kijajo zaidi ya miaka 50. Piga ua tunawaomba wapinzani waendelee kukomaa ili tupate katiba nzuri kwa ajiri ya Kizazi hiki na kijacho na wala si kwa manufaa ya CCM yesnye lengo la kutawala milele huku ufukara ukitamalaki na ufisadi ukipaliliwa. Kitaeleweka tu kwa strategies za pamoja. Nina Imani na safari ya kupata katiba nzuri, ni matumani tutaipata na ndio utakuwa mwisho wa CCM na usanii wake.
 
Nimewaona wale vijana , nimewahurumia kweli aisee , ukiwaangalia wanaonyesha wazi kabisa kuwa kuna kilichowasukuma kutumikishwa namna ile , umasikini wa kipato umewadhalilisha sana vijana wetu , aibu sana !
 
Ndugu wanajamvi, habari ya jumapili! nimeona leo tuweze kushare mada hii muhimu ikizingatiwa kuwa sisi sote ni wadau wa hatima ya taifa letu na si vinginevyo. Kumekuwa na tabia ya vijana wenzangu kutumika kisiasa katika mambo mbali mbali hususani ya kisiasa bila kujua hatima ya nini tunachokifanya. Kwa mfano ni sisi vijana ndio tunaoratibu mikutano mingi ya kisiasa moja kwa moja au kwa nyuma. Leo hii vijana tumefika mbali hasa katika swala la mchakato wa katiba mpya , kuna vijana wanajiita eti VIJANA WA CCM ELIMU YA JUU nimewaona kwenye TV wakipinga na kuhoji muungano wa viongozi wakuu wa vyama vya siasa kuhusu swala la katiba mpya, sasa mimi nawauliza ninyi vijana mnamasilahi gani katika mchakato huu? eti mnajinadi mnawakilisha vijana, vijana gani mnawawakilisha? na nani amewatuma? au mnatafuta umaarufu ili baadaye mpewe UDC na mambo yanayofanana na hayo? Kama hamuelewi vitu kaeni kimya ......njaa zenu zisiwaponze watanzania wengine. Kifupi ni kwamba sheria ya katiba mpya ni mbovu ndo maana tunamuomba mh; Rais asisaini huu mswaada kwa manufaa ya vizazi lukuki vijavyo,......Nyiye mnaita press conference na mashati yenu ya kijani eti mnawapinga viongozi hawa.....maana ya elimu ya juu wadogo zangu siyo hiyo mnayodhani ninyi....ila ni kuweza kutafakari mambo na kuwa msaada katika jamii inayokuzunguka kama wanavyofanya hawa viongozi wa siasa. Ari yangu ni kwamba tabia hiyo msirudie ,sisi vijana hatuwatambui ninyi katika swala la katiba ya taifa hili,......kama mnainterest zenu naomba namomba mkazifaniye kwenye mambo tofauti na hili........ kwasababu hamjui mlifanyalo tunawasamehe bure!

Wale ni wachumia tumbo ni sawa na Le Mutuz , Mwigulu , Nape wote ni tatizo wosia wako ni bure wao wanawaza madarala leo tu na si kesho
 
mimi ni kijana niko tiyari kutumika ili tupate katiba mpya!
maaandamano nchi zima tarehe 10/10/2013 kaa tayari kupigania watoto wako na wajukuu!!!
 
Ndugu wanajamvi, habari ya jumapili! nimeona leo tuweze kushare mada hii muhimu ikizingatiwa kuwa sisi sote ni wadau wa hatima ya taifa letu na si vinginevyo. Kumekuwa na tabia ya vijana wenzangu kutumika kisiasa katika mambo mbali mbali hususani ya kisiasa bila kujua hatima ya nini tunachokifanya. Kwa mfano ni sisi vijana ndio tunaoratibu mikutano mingi ya kisiasa moja kwa moja au kwa nyuma. Leo hii vijana tumefika mbali hasa katika swala la mchakato wa katiba mpya , kuna vijana wanajiita eti VIJANA WA CCM ELIMU YA JUU nimewaona kwenye TV wakipinga na kuhoji muungano wa viongozi wakuu wa vyama vya siasa kuhusu swala la katiba mpya, sasa mimi nawauliza ninyi vijana mnamasilahi gani katika mchakato huu? eti mnajinadi mnawakilisha vijana, vijana gani mnawawakilisha? na nani amewatuma? au mnatafuta umaarufu ili baadaye mpewe UDC na mambo yanayofanana na hayo? Kama hamuelewi vitu kaeni kimya ......njaa zenu zisiwaponze watanzania wengine. Kifupi ni kwamba sheria ya katiba mpya ni mbovu ndo maana tunamuomba mh; Rais asisaini huu mswaada kwa manufaa ya vizazi lukuki vijavyo,......Nyiye mnaita press conference na mashati yenu ya kijani eti mnawapinga viongozi hawa.....maana ya elimu ya juu wadogo zangu siyo hiyo mnayodhani ninyi....ila ni kuweza kutafakari mambo na kuwa msaada katika jamii inayokuzunguka kama wanavyofanya hawa viongozi wa siasa. Ari yangu ni kwamba tabia hiyo msirudie ,sisi vijana hatuwatambui ninyi katika swala la katiba ya taifa hili,......kama mnainterest zenu naomba namomba mkazifaniye kwenye mambo tofauti na hili........ kwasababu hamjui mlifanyalo tunawasamehe bure!

Hawaii wanaojiita vijana wa CCM vyuo vikuu ni vibaraka vya wakubwa pale Lumumba.Ila waache malipo ni hapa hapa duniani.Haiingii akilini unaita waandishi wa habari unasema Hawa viongozi wa vyama vya upinzani wanakufa tunabki sis vijana!!!!! Una warrant na maisha yako??? Uzuzu mtupu chuo gani unasoma??! Jitu lenyewe Jizee linajiita kijana.
 
Ndugu wanajamvi, habari ya jumapili! nimeona leo tuweze kushare mada hii muhimu ikizingatiwa kuwa sisi sote ni wadau wa hatima ya taifa letu na si vinginevyo. Kumekuwa na tabia ya vijana wenzangu kutumika kisiasa katika mambo mbali mbali hususani ya kisiasa bila kujua hatima ya nini tunachokifanya. Kwa mfano ni sisi vijana ndio tunaoratibu mikutano mingi ya kisiasa moja kwa moja au kwa nyuma. Leo hii vijana tumefika mbali hasa katika swala la mchakato wa katiba mpya , kuna vijana wanajiita eti VIJANA WA CCM ELIMU YA JUU nimewaona kwenye TV wakipinga na kuhoji muungano wa viongozi wakuu wa vyama vya siasa kuhusu swala la katiba mpya, sasa mimi nawauliza ninyi vijana mnamasilahi gani katika mchakato huu? eti mnajinadi mnawakilisha vijana, vijana gani mnawawakilisha? na nani amewatuma? au mnatafuta umaarufu ili baadaye mpewe UDC na mambo yanayofanana na hayo? Kama hamuelewi vitu kaeni kimya ......njaa zenu zisiwaponze watanzania wengine. Kifupi ni kwamba sheria ya katiba mpya ni mbovu ndo maana tunamuomba mh; Rais asisaini huu mswaada kwa manufaa ya vizazi lukuki vijavyo,......Nyiye mnaita press conference na mashati yenu ya kijani eti mnawapinga viongozi hawa.....maana ya elimu ya juu wadogo zangu siyo hiyo mnayodhani ninyi....ila ni kuweza kutafakari mambo na kuwa msaada katika jamii inayokuzunguka kama wanavyofanya hawa viongozi wa siasa. Ari yangu ni kwamba tabia hiyo msirudie ,sisi vijana hatuwatambui ninyi katika swala la katiba ya taifa hili,......kama mnainterest zenu naomba namomba mkazifaniye kwenye mambo tofauti na hili........ kwasababu hamjui mlifanyalo tunawasamehe bure!

Hata wewe mbona unatumika....
 
Simuamini mtu mpaka sasa, hakuna na mpinzani wala mtawala wote nia yao moja tu. Mmoja anataka abaki mwingine anataka kuingia. Sasa tutafika kweli? Katiba ishatibuliwa tayari na mchakato huu ukiendelea tutapata katiba mbovu kuliko hata iliyopo..
 
Hata Mimi nawashangaa sana hawa jamaa,wanaposema vijana msitumike atumike nani nani sasa sisi vijana ndo we nye nguvu, wakati hili swala ni kwa ajili ya wote.hawa ni wachuo gani kwani nani kawatuma kutuwakilisha kuongea utumbo huo,kama wasomi?
 
Simuamini mtu mpaka sasa, hakuna na mpinzani wala mtawala wote nia yao moja tu. Mmoja anataka abaki mwingine anataka kuingia. Sasa tutafika kweli? Katiba ishatibuliwa tayari na mchakato huu ukiendelea tutapata katiba mbovu kuliko hata iliyopo..

Well said....
 
Ukombozi cku zote unapofika lazima kuwe na vikwazo tena sana ila lazima 2jipange vijana 2lioelimika. ila kwa vijana magamba 2waepuke kabisa
 
Ndugu wanajamvi, habari ya jumapili! nimeona leo tuweze kushare mada hii muhimu ikizingatiwa kuwa sisi sote ni wadau wa hatima ya taifa letu na si vinginevyo. Kumekuwa na tabia ya vijana wenzangu kutumika kisiasa katika mambo mbali mbali hususani ya kisiasa bila kujua hatima ya nini tunachokifanya. Kwa mfano ni sisi vijana ndio tunaoratibu mikutano mingi ya kisiasa moja kwa moja au kwa nyuma. Leo hii vijana tumefika mbali hasa katika swala la mchakato wa katiba mpya , kuna vijana wanajiita eti VIJANA WA CCM ELIMU YA JUU nimewaona kwenye TV wakipinga na kuhoji muungano wa viongozi wakuu wa vyama vya siasa kuhusu swala la katiba mpya, sasa mimi nawauliza ninyi vijana mnamasilahi gani katika mchakato huu? eti mnajinadi mnawakilisha vijana, vijana gani mnawawakilisha? na nani amewatuma? au mnatafuta umaarufu ili baadaye mpewe UDC na mambo yanayofanana na hayo? Kama hamuelewi vitu kaeni kimya ......njaa zenu zisiwaponze watanzania wengine. Kifupi ni kwamba sheria ya katiba mpya ni mbovu ndo maana tunamuomba mh; Rais asisaini huu mswaada kwa manufaa ya vizazi lukuki vijavyo,......Nyiye mnaita press conference na mashati yenu ya kijani eti mnawapinga viongozi hawa.....maana ya elimu ya juu wadogo zangu siyo hiyo mnayodhani ninyi....ila ni kuweza kutafakari mambo na kuwa msaada katika jamii inayokuzunguka kama wanavyofanya hawa viongozi wa siasa. Ari yangu ni kwamba tabia hiyo msirudie ,sisi vijana hatuwatambui ninyi katika swala la katiba ya taifa hili,......kama mnainterest zenu naomba namomba mkazifaniye kwenye mambo tofauti na hili........ kwasababu hamjui mlifanyalo tunawasamehe bure!
Ahsante kwa kuliona hili,lakini naomba nikupe sababu ya vijana kama hawa kushindwa kutambua kwamba wenye maslahi zaidi na katiba hii ni vijana,na hivyo kutumiwa VIBAYA ni hii hapa naiandika kwa herufi kubwa UKIVAA KOFIA YENYE NEMBO YA NYUNDO NA JEMBE MAANA YAKE NI "KICHWA CHANGU KIMEPONDWA,NA AKILI YANGU IMECHIMBIKA JAPOKUWA NATEMBEA''
 
Simuamini mtu mpaka sasa, hakuna na mpinzani wala mtawala wote nia yao moja tu. Mmoja anataka abaki mwingine anataka kuingia. Sasa tutafika kweli? Katiba ishatibuliwa tayari na mchakato huu ukiendelea tutapata katiba mbovu kuliko hata iliyopo..
Taifa haliwezi kujengwa na watu waliokata tamaa namna hiyo,gari unayotembelea,ndege unayopanda hata umeme unaoutumia usidhani vilifikiwa kirahisi,vitu vingine vilighalimu hata maisha ya waliogundua.
Nashauri hata kama mtu amejikatia tamaa asiwavunje moyo wanaoona mbele.Hata kama sisi hatutaki mabadiliko basi watoto wetu wakute mabadiliko badala ya kuwafanya waishi maisha magumu yatakayowalazimisha kuyapiga viboko makaburi yetu.
 
Ukombozi cku zote unapofika lazima kuwe na vikwazo tena sana ila lazima 2jipange vijana 2lioelimika. ila kwa vijana magamba 2waepuke kabisa
Hivi maccm hawajui jaya wanayoyapinga yanaweza kuja kuwasaidia wao na watoto wao?
 
Back
Top Bottom