Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Ilikuwa mwaka 2014 na 2015 baada ya kundi kubwa la vijana kukimbilia kwenye siasa tena baada ya kudanganywa kuwa Chadema inachukua nchi. Wapo vijana bado wanaatabika mitaani baada walichokuwa wanakitegemea kuyeyuka.
Vijana wengi walijipa matumaini ya asilimia 100% ya kupata ajila lakini mambo hayakuwa walivyoyatemea
Wapo baadhi vijana ambao wanajutia kupoteza muda wao kwa kipindi hicho baada ya Chadema kushidwa kuchukua nchi.
Propanga iliyoumiza vijana wengi mwaka 2015 ndio inayotumika mpaka hivi sasa kwa kuhamasisha vijana kuwa Ccm itaang'ooka mwaka 2020 na watafanikiwa kupata ajira.
Kwa kuwatahadhalisha vijana
1. unapoingia kwenye siasa za upinzani usitegee kupata ajira kama mnavyodanganywa. Bali utatumiwa na kichwa njia panda
2. Unapoingia kwenye siasa za upinzani jua utakuwa umepoteza sifa hasa kupata ajira serikalini, tukumbuke serikali inao mkono mrefu utaishia kuendelea kulalamika hakuna ajira kumbe ulijizibia kutoka na vipost vyako vya facebook
3. Unapoingia siasa bila ajira jua utaendelea kuwa tegemezi na mtu wa mizinga kwa wanaume wenzako....maana unachokifuata hakitafanikiwa
4. Siasa za hivi sasa zinahitaji mtaji (pesa) angalia tu baada lowassa na pesa zake kuingia chadema (muulize babu slaa alivyopotezwa) we piga mdomo lakini jua hata kama nafasi zikitokea wale wenye nacho ndo wanaangaliwa zaidi maana wanachangia na wao
5. Ulizia Ben Saanane alipo hivi sasa, kama angekuwa anajishughulisha na mambo yake tofauti na siasa angekuwa mbali kiuchumu maana alikuwa kichwa hapa udsm. We kijana wa fikilia mara mbili mbili
6. Kama utapenda uliza wagombea mbali mbali si wa Ccm wala Chadema walioshidwa kwenye nafasi mbali mbali za siasa hasa majimboni wapo kwenye siasa au wameachana na siasa wanafanya shughuli za kuwaingizia kipato.
Naandika huku nikiwa na masikito kwa vijana kwa kutumiwa bila ya kujitambua' huu ni wakati wa kufanya kazi na tambua bila kufanya kazi katika serikali hii utaishia kulia njaa pamoja na maisha magumu