Vijana mnaotembea na baba zetu mama zetu wapate raha wapi jamani??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana mnaotembea na baba zetu mama zetu wapate raha wapi jamani???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 15, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,589
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  Loh
  hii wala siwezi kuisubiri mpaka jumatatu jamani
  jana nilikuwa sehemu na famili tunakula kwa kweli hiyo sehemu ilinichukua
  dk 30 kujiuliza kuna nini..kila anaekuja mtu mzima kabisa alafu anakatoto kadogo ka kakike
  ukiwaangalia sana wanahamia mwisho kabisa kana kwamba wanajificha...lakini aikuwa mmoja

  sasa basi nkaomba leo niwaulize ninyi watoto wetu wa kike wengine naamini wa shule
  hivi mnapotembea na baba zetu jamani na kufanya familia kushindwa kuhudumiwa kama inavyotakiwa
  nani wawape raha mama zetu jamani..embu achen ujinga amna hata aibu ya kuzaliwa kweli tena zmani mlikuwa mnavaa miwani meusi leo hii mnakaa nao macho kwa macho na wengine mnawapa mabusu motot moto mbee le zetu uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  achen jamani
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kama hakuna demand, supply itakufa tu.
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Wewe uko upande gani? Demand au supply
   
 4. m

  mhondo JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Labda na wao ni waathirika pia. Hawahudumiwi na baba zao halali kwa sababu baba zao wanahudumia nyumba ndogo inabidi na wao watafute wababa wengine wa kuwalea.
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Not advocating or reprimanding anything.

  Lakini kuuliza "nani wawape raha mama zetu" ni kama vile kutowatambua "Serengeti Boys" ambao hawavumi, lakini wapo.

  Wengine watajisikia kutukanwa kwa kutotambuliwa.

  Kama tunasema disparity ya umri ni mbaya - and I am not saying that - basi tuiseme pande zote, sio kuendeleza mfumodume kwa kuwasema wasichana tu bila kuwasema wavulana, our culture notwithstanding.
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah wala usiwalaumu dada zetu bwana kwanza tuwalaumu hao wazazi ambao wameshindwa kuwalea hao wasichana katika maadili mema. pili lazima mijibaba inayokamatia hao vidosho walaumiwe...sio mbaya kukamatia vidosho only if nyumbani matumiza na mambo mengine una hakikisha kuwa kupo mwake...sio wapeleka demu hoteli kali watoto nyumbani wala ugali maharage. alafu mwisho vidosho wanapenda wazee maana kuspend kwao sio shida sio wewe unaliwa K na kijana mbaili hahaha
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,589
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  expr matter kwa kweli loh
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  jana nilichukua katoto fulani hivi, ni kadogo kwa sura unawezafikiri miaka kama 18. na ndio umri wake. niko over 30s actually. nilichokikuta kule ndani, hata mama mtu mzima aliyezaa watoto nane hayuko ivo, sikuamini macho yangu. alikuwa ni mfupi, umbo nane, lakini ana bwawa....nilitamani kutapika..watoto wa siku hizi sio watoto, wamewazidi watu wazima umri na kila kitu.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Hiyo inaitwa transgeneration sex. Ni chanzo cha ukimwi kusambaa kama moto wa petrol. Jiulize, tuko wangapi? Baba mwenyewe mziki hauwezi, anabipu wikiendi tu. Huyo binti ana kijana mwenzie wa kumfikisha angani. Mama nae anajionea cha kufia, ana serengeti yake ya kubip mara moja kwa mwezi ambae nae ana wake wa kila siku!
  Tulizana!
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Pdidy, it takes two to tango, sasa mbona mashambulizi upande mmoja tu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  BADILISHA HEADING Pdidy SIO WANAWAKE TU HATA VIJANA WADOGO WANALELEWA SEMA HIVI
  Vijana mnaotembea na baba zetu /mama mnapata raha gani?
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  eeeeh wanakula/pata raha duniani......!!
  Wenyewe wanasema watu wazima hawachoshi...round 1 kwishney...!
  Na pia wanajua kutunza....!!
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  eeeeh wanakula/pata raha duniani......!!
  Wenyewe wanasema watu wazima hawachoshi...round 1 kwishney...!
  Na pia wanajua kutunza....!!
   
 14. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyu ni suply
   
 15. I

  Idofi JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1,548
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa yangu ana 46 ana rafiki kabinti ka miaka 22 naachwa hoi pale kabinti kanamwita jamaa yangu baby huwa nacheka sana kweli maisha yamebadilika siku hizi
   
 16. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Batoto ba kike masiku hizi ni laana na balaa sana....na ukute 20yrs anapiga miguu yote!!
   
Loading...