Luther760
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 316
- 240
Natumai mko poa, Ingawa korona ndo wimbo kila sehemu. Wakuu nimefanya karesearch kidogo tangu mwaka 2017 nilipo toka chuoni.
Nikarudi home sina namna, nikaanza kununua karanga. Wauzaji wakubwa ni wanawake wa umri kuanzia 20-35 hivi. Kilicho nishangaza, wengi ni single mothers, Kuna sehemu unakuta mtaa mzima ni haohao tu. Ukiuliza kwa nn, ukweli sababu zao ni za kitoto sana.
Wengi wameachika baada ya miaka miwili walio kaa sana ni miaka mitano. Hapa kunahitajika umakini mkubwa sana katika kuchagua mwanamke wa kuishi nae. Nilicho baini kwa hawa wanawake, wengi yaonekana hawakuwa na Upendo wa dhati kwa wenzi wao, pia wanawake wengi kwa sasa wanapenda uhuru sio kubanwa banwa na mwanamme.
Mwisho kabisa hofu ya Mungu kwa walio wengi imetoweka kabisa, yaani kama pochi halijanona jiandae kisaikolojia yangu ni hayo msije sema sikuwadokezea.
Sent using Jamii Forums mobile app