Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ .
1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake

2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana

3.jina la mtoto wake anatumia ubini Gani wa baba yake mzazi Au baba wa mwanamke

4.umeshawahi kujiuliza ni kwanini jamaa hamudumiii mwanamke aliyezaa nae

5.ni kwanini baba wa moto hajihusishi na chuchote kuhusu mtoto wala huyo mwanamke

6.kama jamaa ndio alimuacha mwanamke ndio alimuacha mwanamke unajua ni kwanini alimuacha alafu wewe ndo umchukue

7.jamaa aliyemzalisha bado wanawasiliana na kama hawasiliani ikitokea siku jamaa anataka kumuona mtoto wake utamzuia

Haya endeleeni kuongezea
 
Ku oa mke ni bahati nasibu tu....kuna singo maza wazuru sana na kuna wengine ni hatari ukimuoa unaweza kujutia maishani,
 
Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ .
1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake

2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana

3.jina la mtoto wake anatumia ubini Gani wa baba yake mzazi Au baba wa mwanamke

4.umeshawahi kujiuliza ni kwanini jamaa hamudumiii mwanamke aliyezaa nae

5.ni kwanini baba wa moto hajihusishi na chuchote kuhusu mtoto wala huyo mwanamke

6.kama jamaa ndio alimuacha mwanamke ndio alimuacha mwanamke unajua ni kwanini alimuacha alafu wewe ndo umchukue

7.jamaa aliyemzalisha bado wanawasiliana na kama hawasiliani ikitokea siku jamaa anataka kumuona mtoto wake utamzuia

Haya endeleeni kuongezea
Namba 4 na namba 5 hapo juu ungezichanganya tu maana zinamaana moja.
 
Unaoa mtu ajazaa Ila katoa Mimba za watu karibu saba si bora ambaye alithamini kiumbe yule akamleta duniani.....watoto Siku izi wanapata Mimba form one tu ashatoa adi anafika chuo je?
Ila ni Bora zaidi uyo alietoa mimba sababu hutopata usumbufu kwenye ndoa yako mara sijui anaongea na mzazi nwenzie mara ooh baba nanii anataka kumuona mwanae sijui bibi ake na mtoto amefariki namsindikiza kuzika
 
Unaoa mtu ajazaa Ila katoa Mimba za watu karibu saba si bora ambaye alithamini kiumbe yule akamleta duniani.....watoto Siku izi wanapata Mimba form one tu ashatoa adi anafika chuo je?

Huu ujinga mnautoaga wap? Kwahiyo mtu akishazaa ni guarantee kwamba hajawahi toa wala hatatoa mimba? Yaan mtu akiamu kuzaa inakuwa hajawahi toa mimba kabla au baada ya kuzaa?
Hii reasoning ya wabongo ni ya kipekee sana, sidhani kama inapatikana sehemu nyingine yeyote duniani!
 
Utetezi usio na Tija na weng waliozaa waneshatoa mimba nyingi wakaona isiwe kesi wazae tu
Huu ujinga mnautoaga wap? Kwahiyo mtu akishazaa ni guarantee kwamba hajawahi toa wala hatatoa mimba? Yaan mtu akiamu kuzaa inakuwa hajawahi toa mimba kabla au baada ya kuzaa?
Hii reasoning ya wabongo ni ya kipekee sana, sidhani kama inapatikana sehemu nyingine yeyote duniani!
 
Mm nimezaa na madem wawili tofauti na wote wameolewa lakin mm nilizaa nao huku na mke wangu nae mpenda sana na hao ilikua tu ni mambo ya ujana lakini nawaheshimu hata kuwasiliana nao nawasiliana nao hata waume zao wananijua na hua sina time tena ya kufanya ujinga maana hao ni wake za watu tayari.Ila sema tu kwa kweli wale madem hua kuna time wananitafuta wanapo pata changamoto za ndoa wakitaka hata nikawape faraja ila hua nasimama sana kuwashauli wavumilie maana hua hawana ujanja maana hata nikitaka game sio siri km nakaza natala akanipe hawezi kataaa
 
Nina uhakika haya yote,hata wanaozungumzia oa bikira oa bikira,nina uhakika kinachoongea ni ujana tu. Hizi tred zitakuwepo hata baada ya umri huo,mtazichukia sana na kujilaum kwa mnachoongea
 
Mm nimezaa na madem wawili tofauti na wote wameolewa lakin mm nilizaa nao huku na mke wangu nae mpenda sana na hao ilikua tu ni mambo ya ujana lakini nawaheshimu hata kuwasiliana nao nawasiliana nao hata waume zao wananijua na hua sina time tena ya kufanya ujinga maana hao ni wake za watu tayari.Ila sema tu kwa kweli wale madem hua kuna time wananitafuta wanapo pata changamoto za ndoa wakitaka hata nikawape faraja ila hua nasimama sana kuwashauli wavumilie maana hua hawana ujanja maana hata nikitaka game sio siri km nakaza natala akanipe hawezi kataaa
Ngosha katika ubora wako
 
Back
Top Bottom