Vijana mnaoshabikia UKUTA/UKAWA tubuni mrudi kwa Mzazi wenu CCM tutawapokea!

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Ndugu zangu vijana kusoma ni kuelimika! Mpaka muda huu bado hamjagundua kwamba UKAWA/UKUTA unawapotezea muda wenu tu.

Tubuni na kuiamini CCM iliyowalea mtakaribishwa tu wala bado hamjachelewa. Msitarajie Upinzani kwenda IKULU kwa miaka ya karibuni. Labda 2055.

Bora mjiunge na Timu inayoshinda kuliko kujipa pressure bure! Mtaandamana weeeee, mtadeki barabara weee! Mtazungusha mikono weeee!

Wapinzani hawana nia ya kwenda IKULU kutokana na kutokuwa na Mikakati wala nia hiyo!! Hamjachelewa bado rejeeni kundini!!
 
unawaambia warudi ccm kwani wamekwambia waliwahi kuwa huko? toaneni ngeu kwanza kuelekea uchaguzi wenu 2017 na baada ya hapo ndipo mtajua mbivu na mbichi za lumumba. tunajua kwa sasa kuna unafiki mwingi humo ccm maana mnajua wazi kuwa kama kweli rushwa itapigwa marufuku wakati wa uchaguzi 2020 basi ccm isitarajie kupata wabunge maana rushwa ndiyo imekuwa karata yenu katika chaguzi zote,za ndani ya chama na katika uchaguzi mkuu.
 
Ndugu zangu vijana kusoma ni kuelimika! Mpaka muda huu bado hamjagundua kwamba UKAWA/UKUTA unawapotezea muda wenu tu. Tubuni na kuiamini CCM iliyowalea mtakaribishwa tu wala bado hamjachelewa. Msitarajie Upinzani kwenda IKULU kwa miaka ya karibuni. Labda 2055. Bora mjiunge na Timu inayoshinda kuliko kujipa pressure bure! Mtaandamana weeeee, mtadeki barabara weee! Mtazungusha mikono weeee! Wapinzani hawana nia ya kwenda IKULU kutokana na kutokuwa na Mikakati wala nia hiyo!! Hamjachelewa bado rejeeni kundini!!
any way vijana waliodeki barabara, waliozungusha mikono,walioandama na nyinyi vijana wa CCM wote mnaisoma namba kwa pamoja. kama ni ajira wote mnakosa,bei ya sukari wote mnaumia,wote mmeitwa vilaza,hali ngumu ya uchumi inawahusu wote pia,!
 
Nilishawahi kuwaambia, hao ni makafara wa akina mbowe na ukuta wake
Vyama vingi vinafaida yake, wacha kila mtu achague akipendacho. Nimefikiria nikahisi humu JF wewe una account zaidi ya moja, maana unaharaka mpaka unashindwa kutafuta ID. 'mhhhhh"
 
Leo nimeamini mawazo yangu,yaani vijana wa ccm wanahisi siasa ni ushabiki kama mpira,ndo maana wanashabikia ujinga,hawajui hata siasa inahusiana vipi na maisha yetu,Tanzania tutaendelea kuwa wasindikizaji hapa duniani mpaka hiki kizazi kiishe,ANY WAY SIKU NIKIUCHOKA UPINZANI BORA NIWE MWANANCHI NISIYESHABIKIA CHAMA CHOCHOTE,PENGINE NTAKUWA NSHAKUFA
 
Ndugu zangu vijana kusoma ni kuelimika! Mpaka muda huu bado hamjagundua kwamba UKAWA/UKUTA unawapotezea muda wenu tu. Tubuni na kuiamini CCM iliyowalea mtakaribishwa tu wala bado hamjachelewa. Msitarajie Upinzani kwenda IKULU kwa miaka ya karibuni. Labda 2055. Bora mjiunge na Timu inayoshinda kuliko kujipa pressure bure! Mtaandamana weeeee, mtadeki barabara weee! Mtazungusha mikono weeee! Wapinzani hawana nia ya kwenda IKULU kutokana na kutokuwa na Mikakati wala nia hiyo!! Hamjachelewa bado rejeeni kundini!!
Yani hujajua tu kwamba CCM mnapoteza wana chama kila kukicha? wengi tu waliompigia kura Magu sasa wanajuta na kubwaga manyanga
 
Vijana mnaoshabikia ccm licha ya baba Na mama kuwa masikini Kwa miaka 50 ya utawala wa Tanu Na ccm jiungeni Na vyama vyavupinzani mpate mabadiliko
 
Ndugu zangu vijana kusoma ni kuelimika! Mpaka muda huu bado hamjagundua kwamba UKAWA/UKUTA unawapotezea muda wenu tu. Tubuni na kuiamini CCM iliyowalea mtakaribishwa tu wala bado hamjachelewa. Msitarajie Upinzani kwenda IKULU kwa miaka ya karibuni. Labda 2055. Bora mjiunge na Timu inayoshinda kuliko kujipa pressure bure! Mtaandamana weeeee, mtadeki barabara weee! Mtazungusha mikono weeee! Wapinzani hawana nia ya kwenda IKULU kutokana na kutokuwa na Mikakati wala nia hiyo!! Hamjachelewa bado rejeeni kundini!!
Nipe criteria 10 ulizozingatia wakati wa kuandika haya tafadhali
 
Ndugu zangu vijana kusoma ni kuelimika! Mpaka muda huu bado hamjagundua kwamba UKAWA/UKUTA unawapotezea muda wenu tu. Tubuni na kuiamini CCM iliyowalea mtakaribishwa tu wala bado hamjachelewa. Msitarajie Upinzani kwenda IKULU kwa miaka ya karibuni. Labda 2055. Bora mjiunge na Timu inayoshinda kuliko kujipa pressure bure! Mtaandamana weeeee, mtadeki barabara weee! Mtazungusha mikono weeee! Wapinzani hawana nia ya kwenda IKULU kutokana na kutokuwa na Mikakati wala nia hiyo!! Hamjachelewa bado rejeeni kundini!!
Hahaha uwii ccm imekunyima elimu sasa inakutumia pole
 
Back
Top Bottom