Vijana, mna ujasiri kama wa jamaa huyu?

Vp mkuu unaweza kufanya hivyo

Kuna mkasa kama huo ulitokea Mwanza, Ilemela huko kuna basi lilikamatwa na trafiki. Baadhi ya matrafiki wakamsihi yule trafiki aliyekamata gari aachane nalo jamaa akawa mbishi.
Kumbuka huyo trafiki alikuwa amehamishiwa eneo hilo jipya la kazi.
Basi gari likapelekwa mpaka kituoni, dereva akampigia simu mwenye gari akamueleza mkasa mzima.
Mwenye gari akasema hakuna shida acha funguo hapo polisi tutakuja kulichukua kesho.

Kesho wanakuja kituoni INJINI ya gari hakuna
Mwenyegari akaanza kudai injini yake
 
Duuuh ikawaje sasa
 
Back
Top Bottom