Vijana mjiandae wakati umekaribia Ajira za Ualimu mwezi ujao.

mazaga one

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,463
3,932
Serikali ya awamu ya tano na Ajira nje nje.
 
Attachments

  • Screenshot_2019-11-14-12-01-24.jpg
    Screenshot_2019-11-14-12-01-24.jpg
    27.7 KB · Views: 2
Ajira sio kipaumbele katika awamu ya 5 viongozi waache kudanganya vijana wenye ndoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka wewe ndio umenena maana maana hata sasa hazina hakuna kitu kinu kimekauka kabisa ...sababu ya miradi mikubwa inayoendelea ...

Yaani kwa nayesubiria ajira anajidanganya vibali vinatolewa kwa watalamu wabobezi wachache tu si mko hapa mtakuja kuona

sent from toyota Allex
 
Acha kuwa mjuaji Mkuu,Na uache kuongea uchadema chadema kwa mambo ya serikali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom