said ndwata
Member
- Mar 9, 2017
- 5
- 2
VIJANA,MAISHA,MAGUFULI, FUTURE YA TZ
Ndugu zangu Hakuna mtu atakae kuja kubadilishia maisha yako wewe kama kijana unatakiwa ubadili mwenyewe maisha yako
Kwa wasomi usomi wako lazima uonekane yasni tufauti lazma iwepo kati ya mwenye degree diploma ceetificate lasaba na ambae hajasoma tofauti na ajira za serikali ifike wakati tuweze kujiajir na kujisimamia wenyewe
Vijana wenzangu "ugali wa shikamoo haunenepeshi"
Siri pekee ya mafanikio ni kujituma hakuna lisilo wezekana wasilolijua vijana wengi ni kwamba MOYO HUDANGANYIKA KIDOGO SAANA MFANO IKISEMA UNAWEZA BASI UNAWEZA KWELI, NA UKISEMA HUWEZ KWELI HUTOWEZA JAPO SIO DHAMBI KUTOKUWEZA hata leo kwa wale ambao hawajaajiriwa kuna makundi mawili
1.Kunawanao lalamikia ajira za serikali
2. Wanaomba hizo ajira zisitoke kabisa maana wamepiga hatua kubwa kimaisha
Ni kweli ukitegemea magufuli abadili maisha yako ni sawa na
"KUSUBIRI EMBE DODO KWENYE MPAPAI" efrem
Lengo la magufuli ni kubadilisha taswira na misingi ya tanzania kwa kizazi kijacho kiishi kitakiwavyo na watakavyo
Ni bora kuishi kwa tabu ukiwa umesimama kuliko kuishi kwa raha ukiwa umepiga magoti
Watanzania tukumbuke marekani ya 1933 Roosevelt alipointroduce new deal alionekana wa ajabu kwakuwa watu waliteseka lakin new deal ndo ineifanya USA kuw super power had leo
Charles otto von bismak wakati anaabzisha german unification watu walimpinga kwakuamini kiwa anatumia mabavu kwa kauli yake
"The great question of the day will not be solved with speech and majority resolusion only by using blood and iron" lakin hiki ndicho kilichoifanya german ikawa taifa kubwa
Sio hayo tu ila mataifa mengi makubwa yalipitia mfumo anaopitia magufuli ukiangalia
France kipindi cha napolion bonapate, pia alionekana kwa mtazamo kama huu
Ninanaimani na mh Magufuli na nina imani na taifa la kesho
Ndawata S.I
The activist