Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

Himidt Lengo

JF-Expert Member
Jan 4, 2018
244
250
Sio kweli.. afu hii dhana ya vyeti feki inatoka wapi?? Vyeti vya elimu sasa hivi huwezi kufoji.. labda utumie cha mtu mwingine ukimaanisha chako. Ila ni ngumu sana kufoji cheti.
Wote wamerudi haijalishi una vyeti au la.. Wa darasa la saba wamerudi lkn pia hadi wenye masters wamerudi.
Mmmmmmh unafahamu kabisa mwenye masters aliyerudi bila kuajiriwa JWTZ
 

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
3,073
2,000
Wengine huwa hawajitambui,walikwenda jeshi la wanyama (kulinda hifadhi kuwachukua)wakawapotezea Kwa hoja eti JW Lina Muda mrefu hawajachukua.
Hivi unavyoona trafki wapo wengi,jeshi la Zimamoto nao wapo wengi.ni Kwa vile Tu waliingia wengi na ni lazima watumike. Sasa jeshini nao wapo wengi sema uraiani ndio hatuwaoni kihivyo .Si wamepewa mafunzo wayatumikie basi.
 

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
546
1,000
Nilikuwa huko 825 kj Nimekaa sisomi ramani nikaona nijirudie zangu kitaa nikomae kivyangu tuu, nashukuru mambo si mabaya, ila huko Jkt ni kupotezeana muda tuu na wengine Uzee unakaribia
 

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
8,636
2,000
Hakuna kitu kinauma kama kutoboa mkataba wa JKT bila ajira.

Unajua ukiwa JKT hata hawa polisi unawaona ni watoto yaan unajiona brigedia kamanda.

Kuna nyimbo za dharau kwa polisi hadi basi,kuna hii moja hapa " kazi ya jeshi ni ngumu aeeeeeee si kama ya polisi pushup kwenye godoro aeeeeeeee"

Sasa unarudi mtaani ukiwa huna tena kinga hata mgambo wa jiji anapita na ww ...aseee inauma kichizi,ukicheki miaka miwili umekuwa ukilima kama punda hahahahahahah unarudi nyumbani bila ramani asee wana hali ngumu sana .

Mm ni kuruti mtoro ninayetafufutwa kwa kukimbia mafunzo 824 KJ..

Kuruti wote 824KJ kunyweni maji mengi jeshi si la bibi zenu ...
824 kj kanembwa.

Nilipigia hapo kozi mwaka Fulani.vip unamfahamu maroda?
 

Mzaleee

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,065
2,000
824 kj kanembwa.

Nilipigia hapo kozi mwaka Fulani.vip unamfahamu maroda?
Maroda jamaa fulani mpenda kuruti ..hyu msela yeye anawapenda kuruti kuliko hata kula..

Hahahahahah eagle coy foleni eagle coy mama foleni eagle coy mamaaaah foleni aaaaah foleni..jeshi tamu sana asikwambie mtu.
 

elin

Senior Member
Apr 15, 2015
103
225
Usaili wa magereza na polisi ulikua ukija mnakwepa mnataka jw hayo ndo matunda yake, wengine sasa wapo polisi na nyota zao nyie mnarudi kitaa kuanza upya
Asante mkuu, kumbe polisi na magereza walifanya usaili jamaa wakakimbia siyo, hivi magereza waliajiri lini kwa mara ya mwisho kwenye kumbukumbu zako?
 

elin

Senior Member
Apr 15, 2015
103
225
Mkuu sio jwtz pekee wanaoajiri askari kutoka jkt, kuna polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto , usalama na vitengo vingine nyeti, tatizo vijana wanataka jw peke yake mwisho wa siku wanakosa vyote wanarudi mtaani mikino mitupu.
Fanya uchunguzi kisha uje tena hapa useme ni lini hivyo vyombo vingine vilipita huko vijana wakakimbia.
 

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
1,270
2,000
Habari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Vijana karibu 6000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mara baada ya kumaliza mkataba wao na JKT.

Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP Magufuli., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.

Mungu awape nguvu vijana wale waliojitolea kupata maarifa.

NB. JKT sasa hivi ni kama sehemu ya kupata cheap labour.
Ndo maisha mkuu
 

CARDLESS

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,657
2,000
Ni kweli ni raia, mwanajeshi ni raia namba moja au hilo hulijui? Usimzibe mdomo kasema kweli tupu.
Mkuu huyo unayemwambia hajielewi afu anadhani mm ni raia pia. nasema ukweli lazima tufanye reform jeshi letu.
Jeshi limejaa vilaza sana wakiamini mazoezi yale ya kizamani ndio uaskari wenyewe. Sisi tumepiga kozi ngumu lkn sikuona kama ndio uaskari bila skills za kisasa on how to oparate war arms. Askari anajua kushka SMG, AK47 hata hajawahi ona Dragnov afu anakuja hapa anapigiza kelele..
Huyu fala ataendelea sana kufungulia geti wanaume.
 

ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,901
2,000
Habari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Vijana karibu 6000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mara baada ya kumaliza mkataba wao na JKT.

Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP Magufuli., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.

Mungu awape nguvu vijana wale waliojitolea kupata maarifa.

NB. JKT sasa hivi ni kama sehemu ya kupata cheap labour.
Uchochezi at work
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom