Vijana leo tulonge kidogo,Kwann hampendi matumizi ya kondomu ?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,037
2,000
Unajikuta unaanza kutunia mara ya kwanza mara ya pili kesho kesho kutwa mmaweka mzigo pembeni ,kuaminiana kirahisi na kwa mapema , hii ni kwann na solution ni nini haswa ?
IMG_4543.png
 

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
9,071
2,000
mkuu kondom za siku hizi hazina ustahimilivu kwenye game, ishanitokea mara tatu kondom inapasuka so ni afadhari kutotumia tuu ieleweke moja. Na hii ni kwa ndom za bei chee aka bull condom
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,209
2,000
Binafsi zinanibana labda kama nitapata extra large na ambazo hazitonibana!
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
13,597
2,000
mkuu kondom za siku hizi hazina ustahimilivu kwenye game, ishanitokea mara tatu kondom inapasuka so ni afadhari kutotumia tuu ieleweke moja. Na hii ni kwa ndom za bei chee aka bull condom
Tumia RR (Rough Rider).

Hizi bull ushuzi mtupu,zishanipasukia katikati ya game nikabaki roho juujuu.
 

Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
934
1,000
Me nikivaa naona km nimevaa mfuko..kuna siku nilienda hospitali nikazikuta wameweka chooni kwenye Sanduku zile kondom za msaada basi nikajibebea km tatu,jioni sasa wakati nakula mzigo Ile nimevaa basi nikahisi nimevaa nylon,nikavua katikati ya gemu nikapiga chukuchuku
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom