MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 338
- 502
Wadau Habari za Jumapili.Nimekuwa nikishuhudia vijana wenzetu was kiume wengi wamevaa mibangili mibaya ya chuma,na kwa siku za hivi karibuni naona wameongezeka zaidi.Swali nini chimbuko asili ya hayo mabangili? Na ni kweli wengi hupewa na waganga kujilinda?