kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,234
Pengine unamuona mdada, mrembo, saa nyingine mtafutaji, mwingine anatia tu huruma na wewe ukamuonea huruma, ukaamua kumuoa. My freind makundi haya matutu nitakayo kutajia hawana true love, upendo toka moyoni, mostly ni ma pretender tu.
Kumdi la kwanza, MWANAMKE ALIYE FIWA NA MUME WAKE - ukiingia kwenye ndoa na pale mambo yakaenda vibaya mfano mis understanding, anakuchana makavu utofauti wako na marehemu mume wake. Hapo ndipo changamoto za ndoa ya namna hii zilipo.
Kundi la pili, MWANAMKE MWENYE MTOTO NA PENGINE WATOTO - Changamoto za ndoa hizi ni pale mawasiliana yanapokuwepo baina ya mke wako na mzazi mwenzake. Note! WATU WALIOZAA MTOTO, KUKUTANA KIMWILI NI KAMA ULIMI NA MATE, MAJI NA SAMAKI, SHATI NA TAI.
kundi la tatu, MWANAMKE ALIYE OLEWA NA KUACHIKA - hawa hawana upendo kabisa, tayari amekwisha pata experiance ya kuachwa, pia hana upendo wa kweli.
VIJANA! kaka mkubwa nawahasa, tena chonde chonde hayo makundi pindi ukiwa unatade nao wanatia sana huruma, pia wanajua sana kushauri, ukaona hapa nimepata. Hasa hao masingle mother's wanajifanya sana kama wanawachukia wazazi wenza wao, kumbe wapiii!!!
Please! Oeni wanawake mnao anza nao fresh kabisa, sii lazia awe ajanzwa. Awe km/ pr hrs zimesoma sana sii shida, ila asiwe kwenye makundi tajwa hapo juu.